Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 9,414
- 6,029
Anaijua vizuri sana kazi yake.Kafulila ni masta sana

Chawa on freakKAFULILA ANASEMA MIAKA 60 HEKTA 500,000 MIAKA 4 HEKTA 400,000, RAIS SAMIA HEKO.
==
Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila akihojiwa katika kituo maarufu cha runinga cha ITV kwenye kipindi cha DK 45 amefafanua kuwa Tanzania tangu iwe huru ilifanikiwa kuwa na hekta laki tano ( 500,000 ) kwaajili ya kilimo cha umwagiliaji, Lakini maajabu ni miaka hii minne tu ya Rais Samia hekta hizi zimeongezeka na kufikia jumla ya hekta laki tisa ( 900,000 ) ikiwa ni sawa na ongezeko la hekta mpya laki nne ( 400,000 ) ambazo ni karibu sawa na ongezeko la 50% ya kilichofanyika tangu tupate uhuru wetu December 1961.
Mkurugenzi David Kafulila anaendelea Kwa kusema kilimo kinategemewa na zaidi ya 65% ya Watanzania hivyo kitendo cha Rais Samia kuwekeza zaidi kwenye kilimo kitasaidia kupunguza umasikini hasa vijijini na mijini.
Kafulila anaendelea mbele Kwa kusema siku zote na kwa miaka mingi Tanzania tumezungumzia kuwa na kilimo cha uhakika, kilimo ambacho hakitategemea sana mvua lakini hatukufanikiwa sana ila wakati huu wa Rais Samia Suluhu Hassan Serikali imevunja rekodi na hii inatafsiri pana ya maisha ya kijamii hususani kwenye maendeleo endelevu ya watu vijijini na mijini.
==
Chawa on freakyKAFULILA ANASEMA MIAKA 60 HEKTA 500,000 MIAKA 4 HEKTA 400,000, RAIS SAMIA HEKO.

No reforms no electionWale wajinga wa no reform hawawezi kujadili mada nyeti za chakula wanakimbilia kwenye jinsia ya rais na uzanzibari wake.
Kuna kazi ya maana sana ameifanya Rais Samia ndani ya miaka minne akiwa ikulu na ndio itakayombeba ikifika Oktoba 2025.
KabisaWale wajinga wa no reform hawawezi kujadili mada nyeti za chakula wanakimbilia kwenye jinsia ya rais na uzanzibari wake.
Kuna kazi ya maana sana ameifanya Rais Samia ndani ya miaka minne akiwa ikulu na ndio itakayombeba ikifika Oktoba 2025.
October 2025 tunatiki jina la Samia.No reforms no election
Sahihi kabisaWale wajinga wa no reform hawawezi kujadili mada nyeti za chakula wanakimbilia kwenye jinsia ya rais na uzanzibari wake.
Kuna kazi ya maana sana ameifanya Rais Samia ndani ya miaka minne akiwa ikulu na ndio itakayombeba ikifika Oktoba 2025.
Tayari kanasaHatimaye Kafulila kafikiwa na msomali
CHADEMA kapata wapi nguvu zote hizo?
KabisaUchawa ni Kansa kwa taifa hili
Hii ni nzuri sanaElection and Reforms
Sio Election and Reforms?No reforms no election
Samia anatisha sana kwenye kaziKAFULILA ANASEMA MIAKA 60 HEKTA 500,000 MIAKA 4 HEKTA 400,000, RAIS SAMIA HEKO.
==
Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila akihojiwa katika kituo maarufu cha runinga cha ITV kwenye kipindi cha DK 45 amefafanua kuwa Tanzania tangu iwe huru ilifanikiwa kuwa na hekta laki tano ( 500,000 ) kwaajili ya kilimo cha umwagiliaji, Lakini maajabu ni miaka hii minne tu ya Rais Samia hekta hizi zimeongezeka na kufikia jumla ya hekta laki tisa ( 900,000 ) ikiwa ni sawa na ongezeko la hekta mpya laki nne ( 400,000 ) ambazo ni karibu sawa na ongezeko la 50% ya kilichofanyika tangu tupate uhuru wetu December 1961.
Mkurugenzi David Kafulila anaendelea Kwa kusema kilimo kinategemewa na zaidi ya 65% ya Watanzania hivyo kitendo cha Rais Samia kuwekeza zaidi kwenye kilimo kitasaidia kupunguza umasikini hasa vijijini na mijini.
Kafulila anaendelea mbele Kwa kusema siku zote na kwa miaka mingi Tanzania tumezungumzia kuwa na kilimo cha uhakika, kilimo ambacho hakitategemea sana mvua lakini hatukufanikiwa sana ila wakati huu wa Rais Samia Suluhu Hassan Serikali imevunja rekodi na hii inatafsiri pana ya maisha ya kijamii hususani kwenye maendeleo endelevu ya watu vijijini na mijini.
==
Uongo sanaKAFULILA ANASEMA MIAKA 60 HEKTA 500,000 MIAKA 4 HEKTA 400,000, RAIS SAMIA HEKO.

Msubiri 2030No reforms no election
Mko wangapi mnaolipwa na kafulila kumuanzishia nyuzi?KAFULILA ANASEMA MIAKA 60 HEKTA 500,000 MIAKA 4 HEKTA 400,000, RAIS SAMIA HEKO.