Acha justification za namna hiyo msomi wa hostoria,Korea wanepigana vita kubwa nauharibifu mkubwa kuliko vita yetu ambayo tumepigana nje ya mipaka yetu Sisiemu ndio imetufikisha hapa simply kwaajili ya ubinafsi tuHujui dunia na nchi ilipitia changamoto zipi za kiuchumi miaka ya 1970-1990's.hujui nchi ilipigana vita dhidi ya Idd Amin? Somo la historia ulikuwa unalisoma kwa kukariri ili upate maksi?
Kijana plz Jaribu kuipenda nchi yako achana na mambo ya kupinga klla kituPraise and worship team.
Wa zamani kule NCCR alikuwa Kafulila kweli, huyu wa sasa ni Kafulia
Israel ipo vitani miaka yote lakini sekta ya kilimo ipo juu sn hakuna njaa wala ukameAcha justification za namna hiyo msomi wa hostoria,Korea wanepigana vita kubwa nauharibifu mkubwa kuliko vita yetu ambayo tumepigana nje ya mipaka yetu Sisiemu ndio imetufikisha hapa simply kwaajili ya ubinafsi tu
Kwani Tanzania inanjaa mkuu?Israel ipo vitani miaka yote lakini sekta ya kilimo ipo juu sn hakuna njaa wala ukame
Njoo na hoja acha kihojaAkili ikishahamia tu tumboni, utatetea hata ujinga.
Kihoja ndiyo kitu gani!Njoo na hoja acha kihoja
Ni kama hicho ulichoandikaKihoja ndiyo kitu gani!
VIongozi wa CCM pekee ndiyo hawana njaa, sisi tuliopo field tunaijua hali halisi, nyie mnaiba mali za umma mnakula na kusazaKwani Tanzania inanjaa mkuu?
Umeongea Kwa uchungu sana mkuu ila chamuhimu tujengeni nchi yetuVIongozi wa CCM pekee ndiyo hawana njaa, sisi tuliopo field tunaijua hali halisi, nyie mnaiba mali za umma mnakula na kusaza
Haya mafisadi yanaitafuna haswa nchiUmeongea Kwa uchungu sana mkuu ila chamuhimu tujengeni nchi yetu
Tatizo pia lipo Kwa Watanzania wote ni maadili hakuna mkuu sio CCM hata chadema wapigaji wapo tuHaya mafisadi yanaitafuna haswa nchi
Tatizo ni mifumo ovu, tungekuwa na mifumo imara kusingekuwa na wapigaji, system imejaa majangili tupuTatizo pia lipo Kwa Watanzania wote ni maadili hakuna mkuu sio CCM hata chadema wapigaji wapo tu
Ila kabla ya 2030 tutakuwa na katiba mpya hivyyo tutaona baada ya hapoTatizo ni mifumo ovu, tungekuwa na mifumo imara kusingekuwa na wapigaji, system imejaa majangili tupu
Shida siyo katiba mpya shida ni mifumo imara, tume ya taifa imeishia kuitwa tume huru ya uchaguzi imesaidia nini? inaweza kuitwa katiba mpya lakini ikawa mbovu kuzidi hata hiiIla kabla ya 2030 tutakuwa na katiba mpya hivyyo tutaona baada ya hapo
Ndio lakini mifumo imara inajengwa kwenye Katiba nzuri mkuu,Shida siyo katiba mpya shida ni mifumo imara, tume ya taifa imeishia kuitwa tume huru ya uchaguzi imesaidia nini? inaweza kuitwa katiba mpya lakini ikawa mbovu kuzidi hata hii
No mkuu Kafulila hawezi kamwe kuwa tapeliUkimsikiliza huyu tapeli na mla rushwa unaweza kudhani Tanzania imepata uhuru 2021 au CCM imeingia madarakani 2021.
Roho mbaya mnayo CCMPunguza roho mbaya
Sijui bhanaNdio lakini mifumo imara inajengwa kwenye Katiba nzuri mkuu,
Humjui vizuri weweNo mkuu Kafulila hawezi kamwe kuwa tapeli