David Kafulila: Miaka 60 hekta 500,000 za umwagiliaji miaka 4 ya Rais Samia hekta mpya 400,000

KAFULILA: MIAKA 60 HEKTA 500,000 MIAKA 4 HEKTA 400,000, RAIS SAMIA HEKO

Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila akihojiwa katika kituo maarufu cha runinga cha ITV kwenye kipindi Cha DK 45 amefafanua kuwa Tanzania tangu iwe huru ilifanikiwa kuwa na hekta laki tano ( 500,000 ) kwaajili ya kilimo cha umwagiliaji, Lakini maajabu ni miaka hii minne ( 4 ) tu ya Rais Samia hekta hizi zimeongezeka na kufikia hekta laki tisa ( 900,000 ) ikiwa ni sawa na ongezeko la hekta mpya laki nne ( 400,000 ) ambazo ni karibu sawa na ongezeko la 50% ya kilichofanyika tangu tupate uhuru December 1961.

Mkurugenzi David Kafulila anasema kilimo kinategemewa na zaidi ya 60% ya Watanzania hivyo kitendo cha Rais Samia kuwekeza zaidi kwenye kilimo kitasaidia kupunguza umasikini hasa vijijini na mijini.

Kafulila anaendelea Kwa kusema siku zote na kwa miaka mingi Tanzania tumezungumzia kuwa na kilimo cha uhakika ambacho hakitategemea mvua lakini tulishindwa ila wakati huu wa Rais Samia Suluhu Hassan Serikali imevunja rekodi na hii inatafsiri pana ya maisha ya kijamii hususani kwenye maendeleo ya watu.

==
I like the way Kafulila anafanya natamani viongozi wengine lazima na wao wafanye haya
 
Hili jamaa ni lipuuzi sana, , linagonga uchawa hata pasipotakiwa
 
KAFULILA ANASEMA MIAKA 60 HEKTA 500,000 MIAKA 4 HEKTA 400,000, RAIS SAMIA HEKO.
==
Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila akihojiwa katika kituo maarufu cha runinga cha ITV kwenye kipindi cha DK 45 amefafanua kuwa Tanzania tangu iwe huru ilifanikiwa kuwa na hekta laki tano ( 500,000 ) kwaajili ya kilimo cha umwagiliaji, Lakini maajabu ni miaka hii minne tu ya Rais Samia hekta hizi zimeongezeka na kufikia jumla ya hekta laki tisa ( 900,000 ) ikiwa ni sawa na ongezeko la hekta mpya laki nne ( 400,000 ) ambazo ni karibu sawa na ongezeko la 50% ya kilichofanyika tangu tupate uhuru wetu December 1961.

Mkurugenzi David Kafulila anaendelea Kwa kusema kilimo kinategemewa na zaidi ya 65% ya Watanzania hivyo kitendo cha Rais Samia kuwekeza zaidi kwenye kilimo kitasaidia kupunguza umasikini hasa vijijini na mijini.

Kafulila anaendelea mbele Kwa kusema siku zote na kwa miaka mingi Tanzania tumezungumzia kuwa na kilimo cha uhakika, kilimo ambacho hakitategemea sana mvua lakini hatukufanikiwa sana ila wakati huu wa Rais Samia Suluhu Hassan Serikali imevunja rekodi na hii inatafsiri pana ya maisha ya kijamii hususani kwenye maendeleo endelevu ya watu vijijini na mijini.

==
Samia Mitano tena hakuna jinsi
 
Uchawa na chawas
 
Napenda jitihada za Kafulila haijalishi anaongea nini ila jitihada zake ni kubwa sana
 
Back
Top Bottom