PiedPiper77
Senior Member
- Jan 8, 2025
- 189
- 231
Nasikia msomali ndio Waziri Mkuu ajaeHatimaye Kafulila kafikiwa na msomali

Hapana mbona kazungumzia Wizara zote?Hatimaye Kafulila kafikiwa na msomali
😀 😀Ukimuamini huyu
Ukimuamini huyu, ni sawa na kumuamini Magufuli aliyesema tumejenga viwanda zaidi ya elfu 4; ni sawa na kumuamini Jafo aliesema tumejenga viwanda elfu 28; ni sawa na kuwaamini waliosema DpWorld akiendesha ile bandari, itazalisha mapato zaidi ya ⅓ ya bajeti, ni sawa na kuwaamini wale waliosema gesi ya Mtwara ingezalisha umeme kukidhi mahitaji ya nchi na kuuza ziada; ni sawa na kuwasmini waliosema lile bwawa likianza uzslishaji tutauza umme nje; nu sawa na kumwamini aliesema rais ni mzima anachapa kazi, ni sawa na kumuamini naesema sasa tuna tume huru ya uchaguzi na uchaguzi wa 2025 utakuwa huru na wa haki. Nk, nk.
Kafulila sasa anatoa shule balaaKAFULILA ANASEMA MIAKA 60 HEKTA 500,000 MIAKA 4 HEKTA 400,000, RAIS SAMIA HEKO.
==
Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila akihojiwa katika kituo maarufu cha runinga cha ITV kwenye kipindi cha DK 45 amefafanua kuwa Tanzania tangu iwe huru ilifanikiwa kuwa na hekta laki tano ( 500,000 ) kwaajili ya kilimo cha umwagiliaji, Lakini maajabu ni miaka hii minne tu ya Rais Samia hekta hizi zimeongezeka na kufikia jumla ya hekta laki tisa ( 900,000 ) ikiwa ni sawa na ongezeko la hekta mpya laki nne ( 400,000 ) ambazo ni karibu sawa na ongezeko la 50% ya kilichofanyika tangu tupate uhuru wetu December 1961.
Mkurugenzi David Kafulila anaendelea Kwa kusema kilimo kinategemewa na zaidi ya 65% ya Watanzania hivyo kitendo cha Rais Samia kuwekeza zaidi kwenye kilimo kitasaidia kupunguza umasikini hasa vijijini na mijini.
Kafulila anaendelea mbele Kwa kusema siku zote na kwa miaka mingi Tanzania tumezungumzia kuwa na kilimo cha uhakika, kilimo ambacho hakitategemea sana mvua lakini hatukufanikiwa sana ila wakati huu wa Rais Samia Suluhu Hassan Serikali imevunja rekodi na hii inatafsiri pana ya maisha ya kijamii hususani kwenye maendeleo endelevu ya watu vijijini na mijini.
==
Mnaandika kuhusu maisha ya watu yasiyo salama nchini kwao, au? Kwako ni sahihi Kanisa kufungiwa shughuli za kumwabudu Mungu, kwa kuwa tu Kiongozi wake amewakumbusha waumini kuwa ni dhambi kujihusisha na maovu km utekaji na uuaji watu?Ujinga sio huu ila wako kumshangilia Gwajima na Simba au yanga,
Sisi tunaandika kuhusu maisha ya watu
Utasikia No reform No reaction ata English tu hawajuiBavicha hamna hoja kabisa siku hizi,
Kafulila anatoa uchambuzi wa jumla jumla juu ya Serikali
Chawa nguli D.KKAFULILA ANASEMA MIAKA 60 HEKTA 500,000 MIAKA 4 HEKTA 400,000, RAIS SAMIA HEKO.
==
Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila akihojiwa katika kituo maarufu cha runinga cha ITV kwenye kipindi cha DK 45 amefafanua kuwa Tanzania tangu iwe huru ilifanikiwa kuwa na hekta laki tano ( 500,000 ) kwaajili ya kilimo cha umwagiliaji, Lakini maajabu ni miaka hii minne tu ya Rais Samia hekta hizi zimeongezeka na kufikia jumla ya hekta laki tisa ( 900,000 ) ikiwa ni sawa na ongezeko la hekta mpya laki nne ( 400,000 ) ambazo ni karibu sawa na ongezeko la 50% ya kilichofanyika tangu tupate uhuru wetu December 1961.
Mkurugenzi David Kafulila anaendelea Kwa kusema kilimo kinategemewa na zaidi ya 65% ya Watanzania hivyo kitendo cha Rais Samia kuwekeza zaidi kwenye kilimo kitasaidia kupunguza umasikini hasa vijijini na mijini.
Kafulila anaendelea mbele Kwa kusema siku zote na kwa miaka mingi Tanzania tumezungumzia kuwa na kilimo cha uhakika, kilimo ambacho hakitategemea sana mvua lakini hatukufanikiwa sana ila wakati huu wa Rais Samia Suluhu Hassan Serikali imevunja rekodi na hii inatafsiri pana ya maisha ya kijamii hususani kwenye maendeleo endelevu ya watu vijijini na mijini.
==
Hizi NBS wazifanyie uchunguzi naona mtu anakesi ya kujibu hapaKAFULILA ANASEMA MIAKA 60 HEKTA 500,000 MIAKA 4 HEKTA 400,000, RAIS SAMIA HEKO.
==
Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila akihojiwa katika kituo maarufu cha runinga cha ITV kwenye kipindi cha DK 45 amefafanua kuwa Tanzania tangu iwe huru ilifanikiwa kuwa na hekta laki tano ( 500,000 ) kwaajili ya kilimo cha umwagiliaji, Lakini maajabu ni miaka hii minne tu ya Rais Samia hekta hizi zimeongezeka na kufikia jumla ya hekta laki tisa ( 900,000 ) ikiwa ni sawa na ongezeko la hekta mpya laki nne ( 400,000 ) ambazo ni karibu sawa na ongezeko la 50% ya kilichofanyika tangu tupate uhuru wetu December 1961.
Mkurugenzi David Kafulila anaendelea Kwa kusema kilimo kinategemewa na zaidi ya 65% ya Watanzania hivyo kitendo cha Rais Samia kuwekeza zaidi kwenye kilimo kitasaidia kupunguza umasikini hasa vijijini na mijini.
Kafulila anaendelea mbele Kwa kusema siku zote na kwa miaka mingi Tanzania tumezungumzia kuwa na kilimo cha uhakika, kilimo ambacho hakitategemea sana mvua lakini hatukufanikiwa sana ila wakati huu wa Rais Samia Suluhu Hassan Serikali imevunja rekodi na hii inatafsiri pana ya maisha ya kijamii hususani kwenye maendeleo endelevu ya watu vijijini na mijini.
==
Huyu ana akaunti nyingi sana humu za kujisifiaHatimaye Kafulila kafikiwa na msomali
Nyingine ni hii yako, Kafulila anafanya kazi sio tu kusifiwa Kwenye hamna, fanya na wewe uone kama hautapongezwaHuyu ana akaunti nyingi sana humu za kujisifia
sawa Daudi uliyechukuliwa chombo na MapankiNyingine ni hii yako, Kafulila anafanya kazi sio tu kusifiwa Kwenye hamna, fanya na wewe uone kama hautapongezwa
Chombo gani hilo?sawa Daudi uliyechukuliwa chombo na Mapanki
Huyu tayari kalamba ukubwa huyuKAFULILA ANASEMA MIAKA 60 HEKTA 500,000 MIAKA 4 HEKTA 400,000, RAIS SAMIA HEKO.
==
Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila akihojiwa katika kituo maarufu cha runinga cha ITV kwenye kipindi cha DK 45 amefafanua kuwa Tanzania tangu iwe huru ilifanikiwa kuwa na hekta laki tano ( 500,000 ) kwaajili ya kilimo cha umwagiliaji, Lakini maajabu ni miaka hii minne tu ya Rais Samia hekta hizi zimeongezeka na kufikia jumla ya hekta laki tisa ( 900,000 ) ikiwa ni sawa na ongezeko la hekta mpya laki nne ( 400,000 ) ambazo ni karibu sawa na ongezeko la 50% ya kilichofanyika tangu tupate uhuru wetu December 1961.
Mkurugenzi David Kafulila anaendelea Kwa kusema kilimo kinategemewa na zaidi ya 65% ya Watanzania hivyo kitendo cha Rais Samia kuwekeza zaidi kwenye kilimo kitasaidia kupunguza umasikini hasa vijijini na mijini.
Kafulila anaendelea mbele Kwa kusema siku zote na kwa miaka mingi Tanzania tumezungumzia kuwa na kilimo cha uhakika, kilimo ambacho hakitategemea sana mvua lakini hatukufanikiwa sana ila wakati huu wa Rais Samia Suluhu Hassan Serikali imevunja rekodi na hii inatafsiri pana ya maisha ya kijamii hususani kwenye maendeleo endelevu ya watu vijijini na mijini.
==
Tapeli na mpiga diliWewe unamjua vizuri kama nani mkuu ?
Kapiga dili Tena huyu Mrundi?Tapeli na mpiga dili
YapKapiga dili Tena huyu Mrundi?
Dili gani na wapi?
Huyu Samia ni yule mliyesema ni rais laini mwanamama wa kiislam, anapoamua kuwakazia wajinga vilio vinasikika na kimojawapo ni hiki cha kwako.Mnaandika kuhusu maisha ya watu yasiyo salama nchini kwao, au? Kwako ni sahihi Kanisa kufungiwa shughuli za kumwabudu Mungu, kwa kuwa tu Kiongozi wake amewakumbusha waumini kuwa ni dhambi kujihusisha na maovu km utekaji na uuaji watu?