Mwingereza
JF-Expert Member
- Jan 21, 2014
- 1,115
- 2,771
David Kafulila bila Shaka ni mtaalamu mkubwa wa hujuma. Alikuwa Chadema huko alishirikiana na kundi lake kulihujumu hicho chama. Baadaye alihamia NCCR Mageusi huko nako alihujumu kabla ya kutimkia CCCM. Akiwa CCM ametumika sana. Na katika hawamu ya 5 amepiga kila haina ya hujuma. Kwa sasa ameanza kukihujumu hawamu ya 6.
Siku mbili kabla ya Krismasi, alitoa maelekezo kwa taasisi na mashirika yote mkoani Simiyu kama vile Temesa, Tanroads, Tanesco kuhakikisha amesaini tender zote zinazotolewa na hizo taasisi . Kwa mfano wakandarasi wote wa barabara lazima waripoti kwake na kumuonyesha tender zote, thamani yake kabla hawajaanza kazi yoyote. Akidai wakandarasi lazima wawe na makazi mkoani Simiyu. Mbaya zaidi anataka kila mkandarasi awake appointment kukutana naye faragha yeye binafsi
Licha ya yote, Tarehe 22 December aliwataka wakandarasi wote pokote walipo kukutana naye tarehe 24 December siku moja kabla ya krismasi, na hakutaka wawakilishi. Aliwataka wakurugenzi wakuu wenye maamuzi ya mwisho. Kadhalika aliwatishia wale wote ambao hawakuweza kufika, akiwataka wafike ofisini kwake tarehe 27 saa moja na nusu na barua ya maelezo mkononi.
Je huyu anamsaidia Rais au ndio kundi kubwa linalohujumu hawamu ya 6?
MSAADA EDITING HEADING....NI HAWAMU YA 6