Leonard Robert
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 11,125
- 7,373
Mimi naona kafulila Ni mtu makini Tena agombee urais 2025
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😅😅😅mambo ya Hawamu. Mkandarasi umecharukaDavid Kafulila bila Shaka ni mtaalamu mkubwa wa hujuma. Alikuwa Chadema huko alishirikiana na kundi lake kulihujumu hicho chama. Baadaye alihamia NCCR Mageusi huko nako alihujumu kabla ya kutimkia CCCM. Akiwa CCM ametumika sana. Na katika hawamu ya 5 amepiga kila haina ya hujuma. Kwa sasa ameanza kukihujumu hawamu ya 6.
Siku mbili kabla ya Krismasi, alitoa maelekezo kwa taasisi na mashirika yote mkoani Simiyu kama vile Temesa, Tanroads, Tanesco kuhakikisha amesaini tender zote zinazotolewa na hizo taasisi . Kwa mfano wakandarasi wote wa barabara lazima waripoti kwake na kumuonyesha tender zote, thamani yake kabla hawajaanza kazi yoyote. Akidai wakandarasi lazima wawe na makazi mkoani Simiyu. Mbaya zaidi anataka kila mkandarasi awake appointment kukutana naye faragha yeye binafsi
Licha ya yote, Tarehe 22 December aliwataka wakandarasi wote pokote walipo kukutana naye tarehe 24 December siku moja kabla ya krismasi, na hakutaka wawakilishi. Aliwataka wakurugenzi wakuu wenye maamuzi ya mwisho. Kadhalika aliwatishia wale wote ambao hawakuweza kufika, akiwataka wafike ofisini kwake tarehe 27 saa moja na nusu na barua ya maelezo mkononi.
Je huyu anamsaidia Rais au ndio kundi kubwa linalohujumu hawamu ya 6?
MSAADA EDITING HEADING....NI HAWAMU YA 6
Watu wa usalama tunaomba mfuatilie haya madai.David Kafulila bila Shaka ni mtaalamu mkubwa wa hujuma. Alikuwa Chadema huko alishirikiana na kundi lake kulihujumu hicho chama. Baadaye alihamia NCCR Mageusi huko nako alihujumu kabla ya kutimkia CCCM. Akiwa CCM ametumika sana. Na katika hawamu ya 5 amepiga kila haina ya hujuma. Kwa sasa ameanza kukihujumu hawamu ya 6.
Siku mbili kabla ya Krismasi, alitoa maelekezo kwa taasisi na mashirika yote mkoani Simiyu kama vile Temesa, Tanroads, Tanesco kuhakikisha amesaini tender zote zinazotolewa na hizo taasisi . Kwa mfano wakandarasi wote wa barabara lazima waripoti kwake na kumuonyesha tender zote, thamani yake kabla hawajaanza kazi yoyote. Akidai wakandarasi lazima wawe na makazi mkoani Simiyu. Mbaya zaidi anataka kila mkandarasi awake appointment kukutana naye faragha yeye binafsi
Licha ya yote, Tarehe 22 December aliwataka wakandarasi wote pokote walipo kukutana naye tarehe 24 December siku moja kabla ya krismasi, na hakutaka wawakilishi. Aliwataka wakurugenzi wakuu wenye maamuzi ya mwisho. Kadhalika aliwatishia wale wote ambao hawakuweza kufika, akiwataka wafike ofisini kwake tarehe 27 saa moja na nusu na barua ya maelezo mkononi.
Je huyu anamsaidia Rais au ndio kundi kubwa linalohujumu hawamu ya 6?
MSAADA EDITING HEADING....NI HAWAMU YA 6
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Nachinja kitimoto!
Kafulila hachafuki mkuu ! Barabara toka mwigumbi mkoan shinyanga kuelekea maswa mkoa wa simiyu haina ubora tayar ilikuwa imeshatengenezwa na wachina wameshaambiwa warudie kwani haikuwa na ubora. Mkuu wa mkoa huyo anafatilia hatari ndiyo maana karasi nyingi zinamuona ni tishio kwenye mkoa huo walishazoea ubabaishaji jamaa hataki kabisa mambo hayo.David Kafulila bila Shaka ni mtaalamu mkubwa wa hujuma. Alikuwa Chadema huko alishirikiana na kundi lake kulihujumu hicho chama. Baadaye alihamia NCCR Mageusi huko nako alihujumu kabla ya kutimkia CCCM. Akiwa CCM ametumika sana. Na katika hawamu ya 5 amepiga kila haina ya hujuma. Kwa sasa ameanza kukihujumu hawamu ya 6.
Siku mbili kabla ya Krismasi, alitoa maelekezo kwa taasisi na mashirika yote mkoani Simiyu kama vile Temesa, Tanroads, Tanesco kuhakikisha amesaini tender zote zinazotolewa na hizo taasisi . Kwa mfano wakandarasi wote wa barabara lazima waripoti kwake na kumuonyesha tender zote, thamani yake kabla hawajaanza kazi yoyote. Akidai wakandarasi lazima wawe na makazi mkoani Simiyu. Mbaya zaidi anataka kila mkandarasi awake appointment kukutana naye faragha yeye binafsi
Licha ya yote, Tarehe 22 December aliwataka wakandarasi wote pokote walipo kukutana naye tarehe 24 December siku moja kabla ya krismasi, na hakutaka wawakilishi. Aliwataka wakurugenzi wakuu wenye maamuzi ya mwisho. Kadhalika aliwatishia wale wote ambao hawakuweza kufika, akiwataka wafike ofisini kwake tarehe 27 saa moja na nusu na barua ya maelezo mkononi.
Je huyu anamsaidia Rais au ndio kundi kubwa linalohujumu hawamu ya 6?
MSAADA EDITING HEADING....NI HAWAMU YA 6
Hiyo barabara ilianza kurudiwa tangu enzi za Antony Mtaka. Usimpe sifa asizostahiki huyo jamaa yako. HafaiKafulila hachafuki mkuu ! Barabara toka mwigumbi mkoan shinyanga kuelekea maswa mkoa wa simiyu haina ubora tayar ilikuwa imeshatengenezwa na wachina wameshaambiwa warudie kwani haikuwa na ubora. Mkuu wa mkoa huyo anafatilia hatari ndiyo maana karasi nyingi zinamuona ni tishio kwenye mkoa huo walishazoea ubabaishaji jamaa hataki kabisa mambo hayo.
Na yawezekana wewe ni miongoni mwa kandarasi uliyeshikwa koo pole mkuu zama zimebadilika ujanja ilikuwa zamani
safiHiyo barabara ilianza kurudiwa tangu enzi za Antony Mtaka. Usimpe sifa asizostahiki huyo jamaa yako. Hafai
Hiyo barabara inarudiwa kwa gharama za nani?Kafulila hachafuki mkuu ! Barabara toka mwigumbi mkoan shinyanga kuelekea maswa mkoa wa simiyu haina ubora tayar ilikuwa imeshatengenezwa na wachina wameshaambiwa warudie kwani haikuwa na ubora. Mkuu wa mkoa huyo anafatilia hatari ndiyo maana karasi nyingi zinamuona ni tishio kwenye mkoa huo walishazoea ubabaishaji jamaa hataki kabisa mambo hayo.
Na yawezekana wewe ni miongoni mwa kandarasi uliyeshikwa koo pole mkuu zama zimebadilika ujanja ilikuwa zamani
Habari imekaa kimbea na kimajunguHuyu jamaa mama amfanyie uchunguzi. Aondolewe mapema.....Ana hujumu utawala huu. Sitashangaa akiwa sehemu ya Ghang
David Kafulila bila Shaka ni mtaalamu mkubwa wa hujuma. Alikuwa Chadema huko alishirikiana na kundi lake kulihujumu hicho chama. Baadaye alihamia NCCR Mageusi huko nako alihujumu kabla ya kutimkia CCCM. Akiwa CCM ametumika sana. Na katika hawamu ya 5 amepiga kila haina ya hujuma. Kwa sasa ameanza kukihujumu hawamu ya 6.
Siku mbili kabla ya Krismasi, alitoa maelekezo kwa taasisi na mashirika yote mkoani Simiyu kama vile Temesa, Tanroads, Tanesco kuhakikisha amesaini tender zote zinazotolewa na hizo taasisi . Kwa mfano wakandarasi wote wa barabara lazima waripoti kwake na kumuonyesha tender zote, thamani yake kabla hawajaanza kazi yoyote. Akidai wakandarasi lazima wawe na makazi mkoani Simiyu. Mbaya zaidi anataka kila mkandarasi awake appointment kukutana naye faragha yeye binafsi
Licha ya yote, Tarehe 22 December aliwataka wakandarasi wote pokote walipo kukutana naye tarehe 24 December siku moja kabla ya krismasi, na hakutaka wawakilishi. Aliwataka wakurugenzi wakuu wenye maamuzi ya mwisho. Kadhalika aliwatishia wale wote ambao hawakuweza kufika, akiwataka wafike ofisini kwake tarehe 27 saa moja na nusu na barua ya maelezo mkononi.
Je huyu anamsaidia Rais au ndio kundi kubwa linalohujumu hawamu ya 6?
MSAADA EDITING HEADING....NI HAWAMU YA 6
Mimi hata sijakuelewa...David Kafulila bila Shaka ni mtaalamu mkubwa wa hujuma. Alikuwa Chadema huko alishirikiana na kundi lake kulihujumu hicho chama. Baadaye alihamia NCCR Mageusi huko nako alihujumu kabla ya kutimkia CCCM. Akiwa CCM ametumika sana. Na katika hawamu ya 5 amepiga kila haina ya hujuma. Kwa sasa ameanza kukihujumu hawamu ya 6.
Siku mbili kabla ya Krismasi, alitoa maelekezo kwa taasisi na mashirika yote mkoani Simiyu kama vile Temesa, Tanroads, Tanesco kuhakikisha amesaini tender zote zinazotolewa na hizo taasisi . Kwa mfano wakandarasi wote wa barabara lazima waripoti kwake na kumuonyesha tender zote, thamani yake kabla hawajaanza kazi yoyote. Akidai wakandarasi lazima wawe na makazi mkoani Simiyu. Mbaya zaidi anataka kila mkandarasi awake appointment kukutana naye faragha yeye binafsi
Licha ya yote, Tarehe 22 December aliwataka wakandarasi wote pokote walipo kukutana naye tarehe 24 December siku moja kabla ya krismasi, na hakutaka wawakilishi. Aliwataka wakurugenzi wakuu wenye maamuzi ya mwisho. Kadhalika aliwatishia wale wote ambao hawakuweza kufika, akiwataka wafike ofisini kwake tarehe 27 saa moja na nusu na barua ya maelezo mkononi.
Je huyu anamsaidia Rais au ndio kundi kubwa linalohujumu hawamu ya 6?
MSAADA EDITING HEADING....NI HAWAMU YA 6
Siku mbili kabla ya Krismasi, alitoa maelekezo kwa taasisi na mashirika yote mkoani Simiyu kama vile Temesa, Tanroads, Tanesco kuhakikisha amesaini tender zote zinazotolewa na hizo taasisi . Kwa mfano wakandarasi wote wa barabara lazima waripoti kwake na kumuonyesha tender zote, thamani yake kabla hawajaanza kazi yoyote.
Yupo sahihi kabisaHuyu jamaa mama amfanyie uchunguzi. Aondolewe mapema.....Ana hujumu utawala huu. Sitashangaa akiwa sehemu ya Ghang
Usalama wa aina gani? Mbona huwa tunawapa taarifa lakini hamna lolote wanalofanya?Watu wa usalama tunaomba mfuatilie haya madai.
Wote ni wasaliti na wapenda hela. Zito pale NSSF alifanya DECI yake
Balaa ukosee sasa,jamaa yangu ana mguu mmoja kwa kupiga mdomo badala ya kingo ya ubongo.Kitimoto hachinjwi, anapigwa lungu la kichwa mpaka afe ndio wanamkatakata