David Kafulila na Hujuma Kwa Serikali Ya Awamu ya Tano

😅😅😅mambo ya Hawamu. Mkandarasi umecharuka
 
Watu wa usalama tunaomba mfuatilie haya madai.
 
Kafulila hachafuki mkuu ! Barabara toka mwigumbi mkoan shinyanga kuelekea maswa mkoa wa simiyu haina ubora tayar ilikuwa imeshatengenezwa na wachina wameshaambiwa warudie kwani haikuwa na ubora. Mkuu wa mkoa huyo anafatilia hatari ndiyo maana karasi nyingi zinamuona ni tishio kwenye mkoa huo walishazoea ubabaishaji jamaa hataki kabisa mambo hayo.
Na yawezekana wewe ni miongoni mwa kandarasi uliyeshikwa koo pole mkuu zama zimebadilika ujanja ilikuwa zamani
 
Hiyo barabara ilianza kurudiwa tangu enzi za Antony Mtaka. Usimpe sifa asizostahiki huyo jamaa yako. Hafai
 
Hiyo barabara inarudiwa kwa gharama za nani?
 

Pamoja na kwamba hii habari ni ya Majungu hilo tumekusamehe, lakini sio siri mkuu una uandishi mbovu kwelikweli. Na hiyo sentesi ya mwisho uliposema yafanyike marekebisho ya heading kwenye neno Awamu na kuwa Hawamu, hapo ndio ujinga wako wote umekaa hadharani! Una tatizo la dhahiri la matumizi ya herufi H. Fanyia kazi hilo eneo ili umbea wako uwe na mvuto.
 
Mimi hata sijakuelewa...

Maana sijaona hujuma yoyote hapo unless uwe hujui maana ya neno "hujuma"...!
 

Ndivyo nadhani inatakiwa iwe hivyo kuwa watendaji wakuu wote ikiwemo Mashirika ya Umma, Regional commissioners na MaDC n.k lazima wafahamu kwa kina miradi yote muhimu ktk eneo lake, idadi yake, malengo ya kuyafanikisha na gharama zake ili hata akikurupushwa kutoka usingizini awe na majibu nini kinaendelea ktk eneo lake la kuwajibika pia mtendaji kuweza kutumika pale changamoto zinapojitokeza kwa kuwasiliana na serikali kuu kupata utatuzi.
 
Huyu jamaa mama amfanyie uchunguzi. Aondolewe mapema.....Ana hujumu utawala huu. Sitashangaa akiwa sehemu ya Ghang
Yupo sahihi kabisa
hii style ya Mkandarasi au Mzabuni awe na Leseni ya sehemu husika ilianza tangu enzi za Mwendazake, ni lazima awajue wazabuni wote ili wasitoroke Majukumu
Huwezi toka Dar es salaam ukapata tenda ya kusupply stationary au Chai Ofisi za huko Simiyu, au wa Simiyu akachukue Kandarasi huko Nachingwea wakati Makampuni yapo .
Ukitaka kata Leseni ya (Branch) Wilaya husika na uwe na ofisi
Hapa kaziba ulaji wa watu ndio maana mnaogopa, yule jamaa hajui hata kula km Makonda mkamtembelee, hamuwezi fanyeni Kandarasi Wilayani kwenu, kwani ana uwezo wa kusema hamna videzo akamleta wa kwake napo si kosa kwani kwenye Wilaya hakuna
 
Wote ni wasaliti na wapenda hela. Zito pale NSSF alifanya DECI yake

Ndio alikuwa genge moja na ASSAD kuifanya NSSF kama ATM yao; na ndio maana Zitto alimtetea sana alipofutwa kazi, hadi akafungua kesi mahakamani!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…