Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
-
- #181
Upo sahihiKama Kuna watu wanakaahifu wanaosifia pia waheshimiwe
Anastahili pongeziHongera yake basi
Mama anapwaya sana ampishe kafulila 2025 uraisiNdugu zangu Watanzania,
Napowaambia kuwa David Kafulila ni Chuma nakuwa namaanisha ni CHuma kwelikweli na Mzalendo wa dhati Wa Taifa letu,ambaye huwa hayumbi wala kuyumbishwa wala kutetereshwa wala kuogopa wala kupoozwa wala kuangalia ni nani anayepambana naye au aliye mbele yake.
Chuma David Kafulila ni CHuma ambacho husaga uozo wowote ulio mbele yake .Ni mtu aliyenyooka kama rula ambaye huwezi kumpindisha kwa vihela vyako vya rushwa au hongo.
Sasa nisiwashoshe .ipo hivi jamaa alipoingia Mkoani Simiyu alikuta kuna barabara inajengwa na Mkandarasi,ambapo baada ya kuikagua akagundua kuwa ipo chini ya kiwango na haiwezi kudumu kwa muda mrefu ,na hivyo italeta hasara kwa serikali kwa kuanza kuirudia kwa gharama na kodi za watanzania wanyonge.
Baada ya kugundua uozo huo uliofanywa na Mkandarasi ,alitoa amri kali na maagizo mazito kwa mkandarasi kwa kumtaka arudie barabara hiyo ya urefu wa KM 20 inayogharimu takriban Billion 40 kwa gharama zake mwenyewe Mkandarasi na ikamilike kwa ubora unaohitajika na kwa wakati muafaka. Maagizo hayo yalitekelezwa haraka sana na mkandarasi kurudia ujenzi kwa gharama zake na kuwa fundisho kwa wakandarasi wengine.
Hii maana yake nini ndugu zangu? Hii inamaanisha kuwa kama barabara hiyo ingepokelewa katika ubovu wake huohuo, maana yake ingeshuhudiwa mvua kidogo tu ikinyesha barabara inaanza kukatika na kumomonyoka kila sehemu,lakini pia ingeshuhudiwa barabara hiyo ikianza kuwa na mimashimo mashimo kila sehemu na hivyo kusababisha hata ajali za barabarani.
Lakini kubwa na baya ni kuwa serikali yetu ingeingia hasara ya kuanza kutoa pesa zingine mamilioni kwa mamillioni kurudia na kurekebisha barabara hiyo .pesa ambazo zingeweza kutumika kujenga miradi mingine kama vile shule,vituo vya afya, zahanati,ununuzi wa madawa na vifaa tiba, usambazaji wa maji safi na salama n.k.
Lakini Chuma Kafulila kwa uzalendo wake na unyoofu wake kimaadili na uaminifu wake kwa Taifa letu akaokoa gharama hizo na pesa hizo. Hii ndio maana tunasema hiki chuma ni habari nyingine,ni CHuma cha moto kwelikweli ambacho hakijawahi kuwa na huruma na mafisadi,wezi na wala rushwa.
Hii ndio maana nampongeza na kumuunga sana mkono Mh kafulila.ndio maana natamani kuona akirejea Bungeni hapo Mwakani,ndio maana nina kiu ya kuona akiendelea kuwepo Serikalini kwa kuwa chochote kinachokuwa chini yake na mikononi mwake kinakuwa kipo mahali salama na penye usalama,tofauti na wengine ukiwakabidhi nafasi fulani wanaigeuza kuwa mrija wa kufyonza pesa na kodi za watanzania kama mchwa wenye njaa .
Naweka kalamu yangu chini ili andiko lisiwe refu kupita kiasi hasa kwa kuzingatia ukweli kuwa watanzania ni watu wavivu sana katika kusoma vitu na ndio maana ukitaka kumuibia mtanzania basi muwekee jambo hilo katika maandishi na mahali pa kusaini.uone namna atakavyo saini haraka haraka bila kujuwa kilicho andikwa.halafu kesho unaona hata yeye anaanza kushangaa na kutoa macho anapo ambiwa kile alichokisaini.
Kazi iendelee,Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa.Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Uwe na heshima na adabu kwa Mheshimiwa Rais.Kwani wewe huoni namna Nchi yetu chini ya uongozi wake shupavu, imara, madhubuti na hodari namna tulivyo piga hatua za kimaendeleo katika kila eneo?Mama anapwaya sana ampishe kafulila 2025 uraisi
Naamini panapo majaliwa ya Mwenyezi Mungu hapo Mwakani tutaona Mheshimiwa David Kafulila akirejea na kuingia Bungeni kwa kishindoo kikuu kitakacho itetemesha Nchi nzima.Kafulila ni mwamba sana binafsi natamani arejee Bungeni 2025
hakuna kitu anazurura tu huko duniani kupiga nchi mnadaUwe na heshima na adabu kwa Mheshimiwa Rais.Kwani wewe huoni namna Nchi yetu chini ya uongozi wake shupavu, imara, madhubuti na hodari namna tulivyo piga hatua za kimaendeleo katika kila eneo?
Safi sana Kafulila fanya Kazi kwa bidiiNdugu zangu Watanzania,
Napowaambia kuwa David Kafulila ni Chuma nakuwa namaanisha ni CHuma kwelikweli na Mzalendo wa dhati Wa Taifa letu,ambaye huwa hayumbi wala kuyumbishwa wala kutetereshwa wala kuogopa wala kupoozwa wala kuangalia ni nani anayepambana naye au aliye mbele yake.
Chuma David Kafulila ni CHuma ambacho husaga uozo wowote ulio mbele yake .Ni mtu aliyenyooka kama rula ambaye huwezi kumpindisha kwa vihela vyako vya rushwa au hongo.
Sasa nisiwashoshe .ipo hivi jamaa alipoingia Mkoani Simiyu alikuta kuna barabara inajengwa na Mkandarasi,ambapo baada ya kuikagua akagundua kuwa ipo chini ya kiwango na haiwezi kudumu kwa muda mrefu ,na hivyo italeta hasara kwa serikali kwa kuanza kuirudia kwa gharama na kodi za watanzania wanyonge.
Baada ya kugundua uozo huo uliofanywa na Mkandarasi ,alitoa amri kali na maagizo mazito kwa mkandarasi kwa kumtaka arudie barabara hiyo ya urefu wa KM 20 inayogharimu takriban Billion 40 kwa gharama zake mwenyewe Mkandarasi na ikamilike kwa ubora unaohitajika na kwa wakati muafaka. Maagizo hayo yalitekelezwa haraka sana na mkandarasi kurudia ujenzi kwa gharama zake na kuwa fundisho kwa wakandarasi wengine.
Hii maana yake nini ndugu zangu? Hii inamaanisha kuwa kama barabara hiyo ingepokelewa katika ubovu wake huohuo, maana yake ingeshuhudiwa mvua kidogo tu ikinyesha barabara inaanza kukatika na kumomonyoka kila sehemu,lakini pia ingeshuhudiwa barabara hiyo ikianza kuwa na mimashimo mashimo kila sehemu na hivyo kusababisha hata ajali za barabarani.
Lakini kubwa na baya ni kuwa serikali yetu ingeingia hasara ya kuanza kutoa pesa zingine mamilioni kwa mamillioni kurudia na kurekebisha barabara hiyo .pesa ambazo zingeweza kutumika kujenga miradi mingine kama vile shule,vituo vya afya, zahanati,ununuzi wa madawa na vifaa tiba, usambazaji wa maji safi na salama n.k.
Lakini Chuma Kafulila kwa uzalendo wake na unyoofu wake kimaadili na uaminifu wake kwa Taifa letu akaokoa gharama hizo na pesa hizo. Hii ndio maana tunasema hiki chuma ni habari nyingine,ni CHuma cha moto kwelikweli ambacho hakijawahi kuwa na huruma na mafisadi,wezi na wala rushwa.
Hii ndio maana nampongeza na kumuunga sana mkono Mh kafulila.ndio maana natamani kuona akirejea Bungeni hapo Mwakani,ndio maana nina kiu ya kuona akiendelea kuwepo Serikalini kwa kuwa chochote kinachokuwa chini yake na mikononi mwake kinakuwa kipo mahali salama na penye usalama,tofauti na wengine ukiwakabidhi nafasi fulani wanaigeuza kuwa mrija wa kufyonza pesa na kodi za watanzania kama mchwa wenye njaa .
Naweka kalamu yangu chini ili andiko lisiwe refu kupita kiasi hasa kwa kuzingatia ukweli kuwa watanzania ni watu wavivu sana katika kusoma vitu na ndio maana ukitaka kumuibia mtanzania basi muwekee jambo hilo katika maandishi na mahali pa kusaini.uone namna atakavyo saini haraka haraka bila kujuwa kilicho andikwa.halafu kesho unaona hata yeye anaanza kushangaa na kutoa macho anapo ambiwa kile alichokisaini.
Kazi iendelee,Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa.Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Mnada gani huo? Au unafikiri Nchi ni kama mazao ya karanga na alizeti.hakuna kitu anazurura tu huko duniani kupiga nchi mnada
ndo hatua mliyo fikiaMnada gani huo? Au unafikiri Nchi ni kama mazao ya karanga na alizeti.
Mungu aendelee kumlinda na kumjalia afya njema ili kuweza kuendelea kuchapa kazi kwa maslahi mapana ya Taifa letu.Safi sana Kafulila fanya Kazi kwa bidii
AminaMungu aendelee kumlinda na kumjalia afya njema ili kuweza kuendelea kuchapa kazi kwa maslahi mapana ya Taifa letu.
Kazi nzuri sanaNdugu zangu Watanzania,
Napowaambia kuwa David Kafulila ni Chuma nakuwa namaanisha ni CHuma kwelikweli na Mzalendo wa dhati Wa Taifa letu,ambaye huwa hayumbi wala kuyumbishwa wala kutetereshwa wala kuogopa wala kupoozwa wala kuangalia ni nani anayepambana naye au aliye mbele yake.
Chuma David Kafulila ni CHuma ambacho husaga uozo wowote ulio mbele yake .Ni mtu aliyenyooka kama rula ambaye huwezi kumpindisha kwa vihela vyako vya rushwa au hongo.
Sasa nisiwashoshe .ipo hivi jamaa alipoingia Mkoani Simiyu alikuta kuna barabara inajengwa na Mkandarasi,ambapo baada ya kuikagua akagundua kuwa ipo chini ya kiwango na haiwezi kudumu kwa muda mrefu ,na hivyo italeta hasara kwa serikali kwa kuanza kuirudia kwa gharama na kodi za watanzania wanyonge.
Baada ya kugundua uozo huo uliofanywa na Mkandarasi ,alitoa amri kali na maagizo mazito kwa mkandarasi kwa kumtaka arudie barabara hiyo ya urefu wa KM 20 inayogharimu takriban Billion 40 kwa gharama zake mwenyewe Mkandarasi na ikamilike kwa ubora unaohitajika na kwa wakati muafaka. Maagizo hayo yalitekelezwa haraka sana na mkandarasi kurudia ujenzi kwa gharama zake na kuwa fundisho kwa wakandarasi wengine.
Hii maana yake nini ndugu zangu? Hii inamaanisha kuwa kama barabara hiyo ingepokelewa katika ubovu wake huohuo, maana yake ingeshuhudiwa mvua kidogo tu ikinyesha barabara inaanza kukatika na kumomonyoka kila sehemu,lakini pia ingeshuhudiwa barabara hiyo ikianza kuwa na mimashimo mashimo kila sehemu na hivyo kusababisha hata ajali za barabarani.
Lakini kubwa na baya ni kuwa serikali yetu ingeingia hasara ya kuanza kutoa pesa zingine mamilioni kwa mamillioni kurudia na kurekebisha barabara hiyo .pesa ambazo zingeweza kutumika kujenga miradi mingine kama vile shule,vituo vya afya, zahanati,ununuzi wa madawa na vifaa tiba, usambazaji wa maji safi na salama n.k.
Lakini Chuma Kafulila kwa uzalendo wake na unyoofu wake kimaadili na uaminifu wake kwa Taifa letu akaokoa gharama hizo na pesa hizo. Hii ndio maana tunasema hiki chuma ni habari nyingine,ni CHuma cha moto kwelikweli ambacho hakijawahi kuwa na huruma na mafisadi,wezi na wala rushwa.
Hii ndio maana nampongeza na kumuunga sana mkono Mh kafulila.ndio maana natamani kuona akirejea Bungeni hapo Mwakani,ndio maana nina kiu ya kuona akiendelea kuwepo Serikalini kwa kuwa chochote kinachokuwa chini yake na mikononi mwake kinakuwa kipo mahali salama na penye usalama,tofauti na wengine ukiwakabidhi nafasi fulani wanaigeuza kuwa mrija wa kufyonza pesa na kodi za watanzania kama mchwa wenye njaa .
Naweka kalamu yangu chini ili andiko lisiwe refu kupita kiasi hasa kwa kuzingatia ukweli kuwa watanzania ni watu wavivu sana katika kusoma vitu na ndio maana ukitaka kumuibia mtanzania basi muwekee jambo hilo katika maandishi na mahali pa kusaini.uone namna atakavyo saini haraka haraka bila kujuwa kilicho andikwa.halafu kesho unaona hata yeye anaanza kushangaa na kutoa macho anapo ambiwa kile alichokisaini.
Kazi iendelee,Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa.Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Utakufa kwa wivu na chuki zako BinafsiNimesoma nikafika kati nikaaacha nkasema wacha nimalizie labda haya za mwisho nikakuta Jamaa anampngeza raisi ambaye kwakweli kafeli kwenye kila kitu...cha kushangaza anateua mpaka waliokwisha kufaaaa.
Bahati nzuri Mungu katengeneza mfumo wa ajabu sana wa maisha, yaani Kuna vitu utavifanya ujanani na kuona vya maana ila ukibahatika kufika uzeeni utatamani maisha yangekua Kanda ya video urudishe nyuma na kudelete baadhi ya matukio ambayo ulifanya Kwa kukusudia
Utajiri, umaarufu, njaa na shibe ni vitu vidogo sana mbele ya kifo
Ila Kuna mengine ambayo ukikaa unasema hata nikipewa uhai Tena nitafanya vile nilivyofanya.
Mama yetu ni mtu Mwema sana. Nampenda sana na namuombea maisha marefu yenye heri na baraka, nyie wengine wenzangu na mimi fainali uzeeni.
Kazi ni kipimo cha utu , tuendelee kuchapa kazi kwa bidii , maarifa na juhudi katika kujiletea maendeleo na kujikwamua kiuchumiBahati nzuri Mungu katengeneza mfumo wa ajabu sana wa maisha, yaani Kuna vitu utavifanya ujanani na kuona vya maana ila ukibahatika kufika uzeeni utatamani maisha yangekua Kanda ya video urudishe nyuma na kudelete baadhi ya matukio ambayo ulifanya Kwa kukusudia
Utajiri, umaarufu, njaa na shibe ni vitu vidogo sana mbele ya kifo
Ila Kuna mengine ambayo ukikaa unasema hata nikipewa uhai Tena nitafanya vile nilivyofanya.
Mama yetu ni mtu Mwema sana. Nampenda sana na namuombea maisha marefu yenye heri na baraka, nyie wengine wenzangu na mimi fainali uzeeni.
Kafulila ni jembe sana kama atakuwa 2025 naamini atamsaidia sana mamaKazi ni kipimo cha utu , tuendelee kuchapa kazi kwa bidii , maarifa na juhudi katika kujiletea maendeleo na kujikwamua kiuchumi
Kweli kabisa huyu Mheshimiwa ni jembe sana kiukweli.atamfaa na kumsaidia sana Mheshimiwa Rais akiwa waziri.Kafulila ni jembe sana kama atakuwa 2025 naamini atamsaidia sana mama