David Kafulila ni Mkuu wa Mkoa Pekee Nchini ambaye amewahi kumpa Amri Mkandarasi kurudia Barabara kwa gharama zake

Kazi ni kipimo cha utu , tuendelee kuchapa kazi kwa bidii , maarifa na juhudi katika kujiletea maendeleo na kujikwamua kiuchumi
Hakika, sema tujitafakari sana kwenye njia tunazochagua maana hata YUDA Escariot huenda alikua na sababu za Msingi sana zilizo back up maamuzi yake aliochukua kabla ya kuingia mkataba wa kumuuza Masihi. Tuwe watu wa kiasi na kuwaza consequences kabla ya kutenda.
Kaka Luca Mungu ni muaminifu sana na kanuni zake hazinaga marekebisho. Tukitanguliza njaa mwisho wetu haitakua mzuri sana!
Mungu ampe hekima tukufu Mama, vita anayopitia sio ndogo, Tumuombee sana aisee. Tuliombee Taifa na viongozi waandamizi. Ukiangalia Majirani na nchi za Mbali ndo utaelewa kwamba Tanzania tuna Neema kubwa mno!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…