David Kafulila ni Mkuu wa Mkoa Pekee Nchini ambaye amewahi kumpa Amri Mkandarasi kurudia Barabara kwa gharama zake

Umejibu kwa hoja nzito sana ,ambapo naamini kama ana akili timamu na anajitambua basi atakuwa amekuelewa vyema kabisa
 
Umefafanua vema,
Sisi hatuwezi kuhangaika na mtu aliyetumia haki yake ya Kikatiba kuhama Chama, Tukaacha kuona UZALENDO kwa Taifa alionao.
Tutakuwa punguani.
 
Sasa CHADEMA wanataka tusiseme huyu mtu hapendi rushwa Wala Ufisadi ila tujadili kitu cha kijinga eti CHAMA.
 
Taifa linahitaji na kuwahitaji wazalendo aina ya David Kafulila.
 
Sasa CHADEMA wanataka tusiseme huyu mtu hapendi rushwa Wala Ufisadi ila tujadili kitu cha kijinga eti CHAMA.
CHADEMA wamechanganyikiwa sana kwa sasa baada ya kuona kuwa wanapuuzwa sana na hawaungwi mkono na watanzania.ndio maana wamejaa hasira na kutukana matusi hovyo hovyo tu.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Sasa nani ajiunge na chama chenye mwenyekiti mmoja miaka 30?
 
Kafulila ni mwamba sana tangu jana
Kajamaa ni kakimya sana ila very intelligent πŸ‘πŸΏπŸ‘πŸΏπŸ‘πŸΏ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…