David Kafulila ni Mkuu wa Mkoa Pekee Nchini ambaye amewahi kumpa Amri Mkandarasi kurudia Barabara kwa gharama zake

Hongera mtu wa Mungu Kafulila
 
Kafulila ni big brain
 
Eeee! Siku moja moja inabidi nimpige spana Lucas
ephen wangu mimi wewe hata unipige spana kama zile za mandonga nakuwa naona ni kama unanipulizia upepo usoni pangu katikati ya joto kali. Kwako nimezama wote wote kama nilivyo. Nimenasa mtegoni na wewe ndiye chemchemi ya furaha yangu.
 
🤣🤣🤣Mkuu Mimi sio Lucas tumekutana tu hapa kama Mimi na wewe
Hawezi kukuelewa huyo CHADEMA maana amechanganyikiwa kwa sasa baada ya kuona CHADEMA Inaendelea kusambaratika na kupasuka vipande vipande kama chupa iliyoanguka sakafuni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…