David Kafulila, Prof Mukandara, Prof Tibaijuka katika kongamano la Kihistoria kuhusu Umuhimu wa PPPs katika kuifikia Dira ya Taifa ya 2025-2050

Halafu unaenda sikiliza watu kama hawa, aargh

Tibaijuka sijui Prof gani mwingine, the nonsense.

Sasa FDI si inaweza kwenda kwenye PPP pia au FDI ni kwa sababu ya private sector tu.

Unasikiliza mjadala na hizo hoja za Phd ujinga mtupu.
Umeyasikia vema madini ya Kafulila?
 
Halafu unaenda sikiliza watu kama hawa, aargh

Tibaijuka sijui Prof gani mwingine, the nonsense.

Sasa FDI si inaweza kwenda kwenye PPP pia au FDI ni kwa sababu ya private sector tu.

Unasikiliza mjadala na hizo hoja za Phd ujinga mtupu.
Kwanini hukwenda kwenye mjadala?
 
View: https://www.youtube.com/live/0iIi3qq1dfY?si=VMYyoAVX7Hjv6GcD

===
Leo tarehe 27.05. 2025 litafanyika kongamano kubwa la kujadili nafasi ya Ubia (PPPs) katika kufikia malengo ya Dira yetu ya Taifa ya mwaka 2025-2050

===
Dira yetu ya Taifa imasema ifikapo mwaka 2050 Uchumi wetu utakuwa umefikia $700bn

===
Hivyo kama Taifa tunawajibu wa kukuza uchumi huu kutoka $85bn za sasa mpaka $700bn ambazo ni zaidi ya mara 8.

===
PPPs katika Dunia ya sasa ndio njia mojawapo inayoweza kutufikisha kwenye Uchumi wa $700bn

Wageni ni pamoja na,

1. Media zote,
2. Wanazuoni
3. Asasi za kiraia
4. Vyama vya Siasa
5. Pamoja na Raia wengine

Usiondoke Jf kupata madini haya,

Kama hujasikiliza huu mjadala ni bora ukausililiza mwanzo mwisho utakuja hapa kunishukuru
 
View: https://www.youtube.com/live/0iIi3qq1dfY?si=VMYyoAVX7Hjv6GcD

===
Leo tarehe 27.05. 2025 litafanyika kongamano kubwa la kujadili nafasi ya Ubia (PPPs) katika kufikia malengo ya Dira yetu ya Taifa ya mwaka 2025-2050

===
Dira yetu ya Taifa imasema ifikapo mwaka 2050 Uchumi wetu utakuwa umefikia $700bn

===
Hivyo kama Taifa tunawajibu wa kukuza uchumi huu kutoka $85bn za sasa mpaka $700bn ambazo ni zaidi ya mara 8.

===
PPPs katika Dunia ya sasa ndio njia mojawapo inayoweza kutufikisha kwenye Uchumi wa $700bn

Wageni ni pamoja na,

1. Media zote,
2. Wanazuoni
3. Asasi za kiraia
4. Vyama vya Siasa
5. Pamoja na Raia wengine

Usiondoke Jf kupata madini haya,

Kama idara zote za Serikali zingefanya kazi kama PPP basi hii nchi ingekuwa mbali sana
 
View: https://www.youtube.com/live/0iIi3qq1dfY?si=VMYyoAVX7Hjv6GcD

===
Leo tarehe 27.05. 2025 litafanyika kongamano kubwa la kujadili nafasi ya Ubia (PPPs) katika kufikia malengo ya Dira yetu ya Taifa ya mwaka 2025-2050

===
Dira yetu ya Taifa imasema ifikapo mwaka 2050 Uchumi wetu utakuwa umefikia $700bn

===
Hivyo kama Taifa tunawajibu wa kukuza uchumi huu kutoka $85bn za sasa mpaka $700bn ambazo ni zaidi ya mara 8.

===
PPPs katika Dunia ya sasa ndio njia mojawapo inayoweza kutufikisha kwenye Uchumi wa $700bn

Wageni ni pamoja na,

1. Media zote,
2. Wanazuoni
3. Asasi za kiraia
4. Vyama vya Siasa
5. Pamoja na Raia wengine

Usiondoke Jf kupata madini haya,

PPP kama itazingatiwa inaweza ikaleta Mapinduzi makubwa
 
Back
Top Bottom