CM 1774858
JF-Expert Member
- May 29, 2021
- 6,157
- 5,451
DUuh namimi nipo🐻🐻Uzi unaanzisha wewe na unakuja kujijibu na kujisifia wewe ngoja nikusaidie kutag zile ID zako nyingine Mr Tumbili ili zije uje ujisifie vizuri
Uelekeo555 ABC ZA 2025 Chai na Uji Songaleli LopoLopo Newforce
YAY
Shekaina Glory
Bibianna
Kwakua Invisible siku hizi simuoni ujinga huu wa kutuharibia jukwaa umgekua umekoma maana angemerge hizi ID zote uache kutudanganya kwa michango isiyo genuine.
kafanyaje?Shaka Hamdu.
Tulia utaona.kafanyaje?
kafanyaje?
DUuh namimi nipo🐻🐻
Vipi apeleke wazo kwa rais TRC, TANSECO, ATC etc. Yauzwe Tena?Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia (PPPC), Bwana David Kafulila, amesema sekta binafsi au ubia kati ya Serikali na sekta binafsi hujitokeza katika eneo ambalo kuna makutano ya maslahi kati ya sekta ya umma na sekta binafsi.
Amesema kwa upande wa sekta binafsi, lengo kubwa ni kuongeza faida (profit maximization) kwa kuendesha shughuli zake kwa misingi ya biashara na uchumi.
Hata hivyo, si kila mradi una umuhimu kwa jamii unaweza kuendeshwa kwa misingi ya kibiashara, kwa sababu wakati mwingine idadi ya watumiaji au walipaji huwa ndogo kiasi kwamba mradi hauwezi kujilipa kibiashara.
Kwa hiyo, amesema eneo linalofanya ubia kati ya Serikali na sekta binafsi uwezekane ni pale ambapo mradi unaweza kulipa kibiashara, lakini wakati huo huo Serikali inaona mradi huo kuwa muhimu kiuchumi au kwa maendeleo na ustawi wa wananchi.
Kafulila amesema katika mazingira hayo, Serikali inapaswa kuacha shughuli ambazo zina mvuto wa kibiashara zifanywe na sekta binafsi, ili Serikali iweze kuelekeza rasilimali zake kwenye maeneo mengine yenye umuhimu mkubwa kwa ustawi wa jamii ambayo sekta binafsi haiwezi kuyafanya kwa sababu hayana faida ya kutosha kibiashara.
Amesisitiza kuwa kwa kufanya hivyo, Serikali inaweza kutumia rasilimali zake kwa ufanisi zaidi, huku ikishirikisha sekta binafsi katika maeneo ambayo yanaweza kuendeshwa kibiashara na kuleta uwekezaji, ajira na maendeleo kwa wananchi.
Yes yanapashwa yauzwe yoteVipi apeleke wazo kwa rais TRC, TANSECO, ATC etc. Yauzwe Tena?
Kuna sehemu anajichanganya sana
Miradi yote inafaa kuwa chini ya PPPTRC isipobinafsishwa inaenda kufa muda si mrefu.
Mradi wa maji toka ziwa Viktoria una hali mbaya kutokana na huduma mbovu kwasababu ya kukosa usimamizi thabiti.
Ngozi yetu nyeusi ni tatizo kubwa sana
hizi ni point za msingi sanaLeo hii china mnayo isifia
Nusu ya makampuni nchini kwao
Yanamilikiwa na serikari yao
Halafu hapa Kuna wajinga wajinga
Wanasema haiwezekani.
Kama tunataka tuwe capitalist
Basi turuhusu Nguvu ya mtaji ndio iamue
Ardhi pia irudi mikononi mwa raia.
Sio hivi Sasa hata hatujielewi
Uelekeo na mustakabari tulio chukua
Na huo ndio ukweli wenyeweTatizo letu tunahujumu mno miradi ya umma
HahahahaaaaaYes yanapashwa yauzwe yote
Hapana Mkapa alibinafisha sio Ubia uleHahahahaaaaa
Huu upuuuzi Kama uleeeee wa enzi za nkapa
Kajifunzeni china and India