Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Mkuu umeandika kwa hisia zote hope atafanyia kazi maoni yako pindi yakimfikia.Mhe.Rais na Amiri jeshi mkuu, upatapo fursa ya kusoma mchango huu wa mwananchi wa JMT na mwalimu mstaafu wa primary school bac nakuomba mama wewe utuangalie sie wastaafu tulipwe mafao yetu na pension zetu. Mie tangia mwezi wa 12 napigwa danadana na watendaj wa Psssf vijana wale waongo mnoo ukiwakuta ktk madawati yao pale mbele wanakujibu tu wanavyo jisikia kukujibu mara wakwambie fike limewnda dodoma kumbe uongo file lioo ktk shelf.
Chondechonde mbe.Rais tuangalie wastaafu l.
Asante na nikutakie majukumu mema
Asante kwa kuniwakilishaTumbiri anasaka mahindi!
huyu msaliti kumbe yupoDavid Kafulila ametoa wito kwa watanzania kutumia vizuri mitandao kwa kuwa Rais Samia anapitia mitandao.
Amesema ikitokea Rais ametukanwa mtandaoni anaweza kuacha kusoma mambo mtandaoni kama alivyofanya Rais wa Kenya ambaye aliamua kuachana na mitandao ya kijamii.
Amesisitiza umuhimu wa kutumia mitanda kwa staha ili mawazo muhimu yaweze kufanyiwa kazi.
Pole sana mkuu.Mhe.Rais na Amiri jeshi mkuu, upatapo fursa ya kusoma mchango huu wa mwananchi wa JMT na mwalimu mstaafu wa primary school bac nakuomba mama wewe utuangalie sie wastaafu tulipwe mafao yetu na pension zetu. Mie tangia mwezi wa 12 napigwa danadana na watendaj wa Psssf vijana wale waongo mnoo ukiwakuta ktk madawati yao pale mbele wanakujibu tu wanavyo jisikia kukujibu mara wakwambie fike limewnda dodoma kumbe uongo file lioo ktk shelf.
Chondechonde mbe.Rais tuangalie wastaafu l.
Asante na nikutakie majukumu mema
Alikufanyeje mkuu?!mojawapo ya vijana wenye kiburi na dharau mno kwenye utumishi wa umma ni huyo jamaa. kwa wale ambao walishawahi kutembelea akiwa RAS Mbozi huko watajua yukoje. alinifanya niamini kuwa hata CHADEMA wakipata nafasi wanaweza kuwa na kiburi kama yeye, hafai kabisa.
1.Unapofuatilia mafao yako hakikisha unawaona wakubwa zao au meneja mhusika, usikubali kuishia kwa hao madogo, wataishia kukuzingua tuu na njoo kesho nyiingi. 2.Peleka hili bandiko lako kule Twitter au mpe jamaa yako mwenye akaunti Twitter maana kule wakubwa wengi, akiwemo Mhe rais waka account zao.Mhe.Rais na Amiri jeshi mkuu, upatapo fursa ya kusoma mchango huu wa mwananchi wa JMT na mwalimu mstaafu wa primary school bac nakuomba mama wewe utuangalie sie wastaafu tulipwe mafao yetu na pension zetu. Mie tangia mwezi wa 12 napigwa danadana na watendaj wa Psssf vijana wale waongo mnoo ukiwakuta ktk madawati yao pale mbele wanakujibu tu wanavyo jisikia kukujibu mara wakwambie fike limewnda dodoma kumbe uongo file lioo ktk shelf.
Chondechonde mbe.Rais tuangalie wastaafu l.
Asante na nikutakie majukumu mema
Alienda kugombea jimboni akawa wa mwisho, hapo anatafuta UCHAWA kwa mama.Huyo si alikimbia ukatibu tawala?