Mwaikibaki
JF-Expert Member
- Mar 19, 2015
- 3,004
- 3,695
Stupidity
Aachane na sisi, kwani tumemuomba ushauri!
Aachane na sisi, kwani tumemuomba ushauri!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu jamaa anamzidi ujanja Zitto . Amekuwa chawa mashuhuri.Tumbiri anasaka mahindi!
Ameona aseme chochote ili mama ajue kama yupo, anatamani aukwae uwaziri, huyu ni msaliti hakuwahi kuwa na shaka yoyote na kina mtatiro walijali maslahi binafsiDavid Kafulila ametoa wito kwa watanzania kutumia vizuri mitandao kwa kuwa Rais Samia anapitia mitandao.
Amesema ikitokea Rais ametukanwa mtandaoni anaweza kuacha kusoma mambo mtandaoni kama alivyofanya Rais wa Kenya ambaye aliamua kuachana na mitandao ya kijamii.
Amesisitiza umuhimu wa kutumia mitanda kwa staha ili mawazo muhimu yaweze kufanyiwa kazi.