Aliyasema wapi na lini hayo?
Huyu 'Tumbili' akili zitakuwa zimerudi kichwani?
Watu hawa wanaobadilika badilika kama kinyonga ni tatizo kubwa sana kwa nchi hii.
Pamoja na kwamba sijasikiliza hayo aliyosema kwenye hiyo video, lakini haitoshi , na siyo sahihi kusikiliza wananchi bila kuwa na sera kuu za nchi zinazosimamia mipango na maswala yanayolalamikiwa na hao wananchi,
Wananchi hawawezi kuwa wanaibuka tu kila sehemu bila ya kuwepo na mpangilio wa mambo yanayowagusa.
Kama haya kayasema sasa kabla ya uteuzi, inawezekana kapata msukumo wa kujitokeza tu aonekane, asisahaulike katika teuzi mbalimbali ndani ya serikali haramu.