NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Kipindi cha Michezo Clouds FM cha jumapili alizungumza hayo maneno akiwa Kama mchambuzi asiyekuwa na hoja Bali kaamua kuzungumza tu ili siku iende na boss wake Kusaga amlipe mwisho wa mwezi.
Maoni yangu.
David Kampista hujui chochote kuhusu mpira (football) na hujui nini kinaangaliwa kwa mchezaji mpaka anaitwa timu ya Taifa, kusema kuwa DR Congo hawana wachezaji ni dhahiri kabisa unachambua mpira lakini huna unalolijua.
Unamuona Mayele na Inonga ni wakawaida kwa kua unachambua mpira kishabiki (Simba na Yanga), katika mpira /uchambuzi wa mpira hupaswi kuleta ushabiki usiokuwa na kichwa Wala miguu.
Saivi Clouds ina wachambuzi wa hovyo sana, mmoja wapo David Kampista.
Nawasilisha hoja.