Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 977
- 1,966
AahaaaaMtia nia Ubunge wa Jimbo la Isimani mkoani Iringa David Komba amesema toka amezaliwa mpaka amemaliza kusoma Mbunge wa Jimbo hilo amekuwa ni mmoja tu ambapo amesema umefika wakati wa kufanya mabadiliko na kumpumzisha Mbunge huyo.
Nakumbuka kipindi John Malecela anataka kugombea urais kipindi cha kina Lowassa wakiwa vijana, kundi la Lowassa liliandaa vijana wa kumwimbia ''babu, babu, babu..... atakapokuwa anatoka kwenye ukumbi '' lakini akashtuka, akapitia mlango wa nyuma.Hahaha ha.
William lukuvi hana cha kufanya mtaani.bila shaka anatakiwa aende VETA huyu
Nasikia unaongoza kwenye kura za maoni Jimbo la KaweIsimani ndio Jimbo maskini zaidi Tanzania na Inawezekana duniani kabisa ๐ผ
Kawe pa moto sana bwashee ๐Nasikia unaongoza kwenye kura za maoni Jimbo la Kawe
Mzee Pascal Mayalla alipata kura Moja,aiseKawe pa moto sana bwashee ๐
DuhIsimani ndio Jimbo maskini zaidi Tanzania na Inawezekana duniani kabisa ๐ผ