muda wote mulikuwa hamuna uzoefu.Aje atupe uzoefu wake
Ligi lianze sasa, kila mtu avune alichopanda.muda wote mulikuwa hamuna uzoefu.
MUlikuwa HAmuna meno...sounds weird!muda wote mulikuwa hamuna uzoefu.
Utakuwa shabiki wa manure au wale wa matairi. Tierney ana 23, naye amechoka?Arsenal wananikera sana,wanasubiri hadi beki kackoka wanaenda kumnunua!
"It’s a big club - not just in England, but everybody around the world knows how big Arsenal is. When I had an opportunity to come to this kind of big club, I had to take it. That’s why I’m here."
- David Luiz View attachment 1176527View attachment 1176528
Hapana mkuu mimi ni shabiki wa arsenal hadi huwa naumwa,nakumbuka tulimnunua yule michael silvester baada ya kuchoka sana Man u akaja kuwa uchochoro wa kina Rooney kupita..Kwa nini tusinunue wakati yupo kwenye peak ya ubora wake?tunakwepa gharama alafu wachezaji wetu wakihitajika chap tunawauza!Utakuwa shabiki wa manure au wale wa matairi. Tierney ana 23, naye amechoka?
Best timu ini London?? tuache utani,, Spurs wapo London wanacheza Uefa, Chelsea yupo London anacheza Uefa, bado timu bora iwe Arsenal inayocheza ueropa ??! hivi kwa London tofauti ya Arsenal na west ham ni nini? Zaid ya mijina na rangi ya jenzi??Welcome to the best team in london,Timu ya wajanjaa
Chelsea,spurs,fulham na westham wote ni subset ya Arsenal pale londonBest timu ini London?? tuache utani,, Spurs wapo London wanacheza Uefa, Chelsea yupo London anacheza Uefa, bado timu bora iwe Arsenal inayocheza ueropa ??! hivi kwa London tofauti ya Arsenal na west ham ni nini? Zaid ya mijina na rangi ya jenzi??