David Luiz atua Arsenal !!

David Luiz atua Arsenal !!

Ikaria

Member
Joined
Jul 17, 2019
Posts
93
Reaction score
238
Klabu ya Arsenal imekamilisha usajili wa mlinzi David Luiz kwa dau la £8M akitokea Chelsea.

Luiz sasa atatinga jezi nambari 23 !

Kwa mpigo !!!
 
Afadhali. Idadi ya magoli ya kufungwa itapungua Sasa.
 
Welcome to the best team in london,Timu ya wajanjaa
 
"It’s a big club - not just in England, but everybody around the world knows how big Arsenal is. When I had an opportunity to come to this kind of big club, I had to take it. That’s why I’m here."

- David Luiz
IMG_20190809_114643.jpeg
FB_IMG_1565340255361.jpeg
 
Arsenal wananikera sana,wanasubiri hadi beki kackoka wanaenda kumnunua!
 
Utakuwa shabiki wa manure au wale wa matairi. Tierney ana 23, naye amechoka?
Hapana mkuu mimi ni shabiki wa arsenal hadi huwa naumwa,nakumbuka tulimnunua yule michael silvester baada ya kuchoka sana Man u akaja kuwa uchochoro wa kina Rooney kupita..Kwa nini tusinunue wakati yupo kwenye peak ya ubora wake?tunakwepa gharama alafu wachezaji wetu wakihitajika chap tunawauza!
 
Welcome to the best team in london,Timu ya wajanjaa
Best timu ini London?? tuache utani,, Spurs wapo London wanacheza Uefa, Chelsea yupo London anacheza Uefa, bado timu bora iwe Arsenal inayocheza ueropa ??! hivi kwa London tofauti ya Arsenal na west ham ni nini? Zaid ya mijina na rangi ya jenzi??
 
Chelsea,spurs,fulham na westham wote ni subset ya Arsenal pale london
 
Hahaha at least arsenal wamempata champions Liga Winner[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Screenshot_20190810-133729.jpeg
 
Back
Top Bottom