Huyu bwana aliteuliwa na Kikwete, Mwendazake hayupo Tena,Sasa ni Msoga gang.Kuna jambo limenishangaza sana!
Jana Mahakama ya Akimu Mkaazi Kisutu ilimuhuku aliyewahi kuwa Mkurugenzi wa ATCL, David Mataka kwenda jera miaka minne ama kulipa Faini Milion 8 kwa kuisababishia ATCL hasara ya Tsh Billion 71.
........................................................................................................David Mataka wa ATCL, ahukumiwa kulipa faini Tsh milioni 8 kwa kulisababishia hasara ya Tsh Bilioni 71 shirika
Bosi wa zamani wa ATCL, David Mataka amehukumiwa kwenda jela miaka minne ama kulipa faini ya Sh milioni 8 baada ya kukutwa na hatia ya matumizi mabaya ya ofisi na kusababishia shirika hasara ya Sh bilioni 100. ==== Mataka wa ATCL Ahukumiwa Jela Miaka 4 August 20, 2021 Mkurugenzi Mkuu wa...www.jamiiforums.com
Ajabu ni kuwa hii kesi iliwahi kusikilizwa mwaka 2017.
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemhukumu aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) David Mataka na aliyekuwa Kaimu Ofisa Mkuu Kitengo cha Fedha ambaye ni Askofu wa Kanisa la Pentecoste Motomoto, Elisaph Mathew.

Wawili hao wamehukumiwa kifungo cha miaka 6 jela ama kulipa faini ya Sh.milioni 35 kwa kila mmoja kutokana na mashtka yao sita waliyokuwa yanawakabiri pia Mahakama imewataka washtakiwa hao kulipa hasara waliyoisababishia ATCL kwa kununua magari chakavu 26, yalikuwa na thamani ya zaidi ya dola milioni 143 ndani ya mwezi mmoja.
Kwa upande mwingine, Mahakama imemuachia huru William Haji aliyekuwa mkaguzi mkuu wa hesabu za ATCL
.................................................................................
Je Serikali imeamua kutuchezea mchezo mchafu wananchi? Kesi ilisikilizea Mahakama ya Kisutu na ikatolewa hukumu kama rufaa si ilipaswa ikatwe mahakama ya juu? Iweje kesi moja inatolea uamuzi tofauti? Kuna nini kipo nyuma ya pazia juu ya kesi hii? Au mkisubiri JPM afariki muanze sarakasi?View attachment 1901448View attachment 1901449
Muache akale maisha ni zamu yao.
Tunamsubiri Mzalendo mwingine atakapotawala.