Kwani anawasingizi. Nyie si mmevuluga uchaguzi na kuwatanfaza kwa nguvu wanachama wenu akiwemo raisi.
Lisu mlimfanyia figifu tbc inamtangaza jpm tu utafikiri ni chombo binafsi. Alifanyiwa kila aina ya unyama Mara anyimwe boti Kule ukelewe eti kivuko ni kibovu. Akiwa Moshi tcra wakasema anga limechafuka ili asiruke na ndege kwenda kawe kufunga mkutano ila akalazimisha.
Mmewapiga Sana na kuwaua wafuasi wa upinzani hasa Kule tarime na kwingineko Zanzibar.
Mmeingia masanduku ya Kura zilizokwisha pigwa na kuwaengua kibabe mawakala wa upinzani mfano kwa zitto Kule kgm.
Mmewaengua wagombea kibabe eti wamekosea herufi wakati haya Mambo kipindi Cha jk hakuna aliyenguliwa hata mmoja kwa mbinu chafu hizi.
Mi naomba huyo bwana atutetee Mana tunauawawa kinyama huku huyu na mkoloni jpm hatuna mtetezi mna wanaoinua kichwa wanakanyagwa kabisa.
Kenya ndo imebaki ni nchi ya kidemokrasia e.africa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.