Mwanzi1
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 6,000
- 4,589
Yani maziwa na tusker ndio yatalipia deni la SGR.
Bail out, bail out, bail out....
Hichi ndio kinacho washinda Waganda, kwani wakabebe deni to cover up bad chooses za Kenya?
Wachina, Mungu anawaona mjuwe eh!
Hapa ndio kuna habari yote, wale wenye mashaba Nakuru ndio watafaidika na SGR. Sio waswalihina wenzangu wa Mombasa.
God damn