Kama kuna watu wana stress ni Ndii na Miguna Miguna. Bado wapo kwenye siasa za kabla ya uchaguzi na wala hamna yeyote yule anayeshughulika na kelele zao. Sio serikali sio upinzani. Pole yao.The Handshake causing Ndii to have a knee jerk reaction. Pesa lazima zitafutwe kwa viovote vile.
But offered a project in Kenya where apparently project financed by China's Eximbank n CRBC are designing, constructing, consulting n now now are operating. Uthamawaki ni ciao..I have always asked myself, if Kenya SGR is really class 1, what class is the rail in China cause the one in China looks, works way better than the one in Kenya. I am very sure the one in Kenya isn't class 1 like the contractors claim.
I also shockingly learned today that the China Road and Bridge Corp. (CRBC) was once blacklisted from doing any projects funded by the world bank due to fraudulent charges ( Are 'blacklisted' Chinese firms on board Duterte's infra projects? ). I think Kenya should have done a throught and competetive bidding process in this SGR project.
Wachina wana akili sana. Usipokuwa makini wanakumimba mchana kweupeeeee tena hadharani.
MK254 pole sana.
Majigambo na majivuno yote kumbe reli kwa gharama zenu mmewajengea Waganda. Tena mnawalipa zaidi ya Billion ishirini na mbili za TZS wachina kwa kuiendesha hiyo reli Kila mwezi.
Poleni sana wajuvuni na wajuaji
Ati hamna anayeshughulika na vile Geza Ulole halali akimfuata ndii na miguna.Kama kuna watu wana stress ni Ndii na Miguna Miguna. Bado wapo kwenye siasa za kabla ya uchaguzi na wala hamna yeyote yule anayeshughulika na kelele zao. Sio serikali sio upinzani. Pole yao.
Both Miguna and Ndii have duo nationality!Ati hamna anayeshughulika na vile Geza Ulole halali akimfuata ndii na miguna.
But not with Tanzagiza.Both Miguna and Ndii have duo nationality!
hizi changamoto za wenzetu tuzichukue zitusaidie kuboresha kwetu ili hayo mapungufu tuyakabiri mapema iwezekenavyo kipindi hiki ikiwa kazi haijafikia asilimia 22.
kingine nafikiri reli ya zamani iendelee kuwepo na kufanya kazi kama kawaida hata kipindi hiki ambacho hii mpya itaanza kufanya kazi.hii itasaidia kukuza shughuli nyingine kama za utalii wa ndani na usafiri wa kawida kwa maeneo ambayo reli mpya haitapita.
Ati hamna anayeshughulika na vile Geza Ulole halali akimfuata ndii na miguna.
Hahaha! 😀😀😀 People are mad but some are roaming mad. Kenya, causing sleepless nights for Geza and Co. since 1898!But not with Tanzagiza.
Tanzania hatuchezi ngoma ya kitoto, wakenya wamejivisha kitanzi wenyewe kwa mchina. Kwa jinsi wachina walivyojingiza katikati ya siasa za Kenya, sasa hivi wakihoji tuu, order inatoka Beijing kuzuma moto (aka regime change) wamuulize Mugabe.Tender: competitive bidding
Financier - GoT under JPM
Designer - COWI
Consultant - KOICA
Operator -TRC
Constructors - Yapi Merkezi + Mota-Engil Engenharia e Construção África
NIGHT VISION. 😀😀😀Magufuli ana akili sana na ukitaka kumuelewa lazima na wewe uwe na akili otherwse hautamuelewa mpaka siku utakopokuja kuona kwa macho...kwa kifupi hii inaitwa VISION
Nimaoni mazuri ila kumbuka sisi hatufanyi kutafuta sifa kama wenzetuhizi changamoto za wenzetu tuzichukue zitusaidie kuboresha kwetu ili hayo mapungufu tuyakabiri mapema iwezekenavyo kipindi hiki ikiwa kazi haijafikia asilimia 22.
kingine nafikiri reli ya zamani iendelee kuwepo na kufanya kazi kama kawaida hata kipindi hiki ambacho hii mpya itaanza kufanya kazi.hii itasaidia kukuza shughuli nyingine kama za utalii wa ndani na usafiri wa kawida kwa maeneo ambayo reli mpya haitapita.