joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Kweli kabisa sijui chochote kuhusu Kenya zaidi ya tribalism, hunger, crime, police killings, slums, poverty, unemployment, debts, terrorism, and water scarcity.Blah blah blah unafata maoni ya mtu mwingine kwani huna yako? Alafu unachukulia kama 'fact'. 🙂 Ni wazi kwamba hujui chochote kuhusu Ndii wala maswala yeyote mengine kuhusu Kenya. 'Vita' vyenu vya Platnumz na Kiba viliisha nini?
Mkuu,namba 6 nakupinga kwa nguvu zote,,hakuna kipindi ambacho H/shauri zinapokea fedha za miradi kama kipindi hiki,miradi mingi iliyokuwa imesimama wakati wa JK kwa sasa inasonga mbele na mingine imekamilikaHivi ni vichekesho vya David ndiii
Haihitaji kuwa na Elimu yoyote ya chuo kikuu ya kiuchumi ili kujua kuwa Kiuchumi Tanzania INAZAMA CHINI kwa kasi ya ajabu.
Hizi ni miongoni mwa sababu za wazi kwa kila mtu.
1/Hali ya kiuchumi kwa mtu mmoja mmoja ni ngumu kupita maelezo. Karibu kila mtanzania analalamika vyuma kukaza.
2/Biashara nyingi zinafungwa, zinakufa na kufirisika kwa sasa.
3/Nguvu ya soko katika kuuza na kununua imepungua kwa karibu 50%.
4/Serikali inalalamika kimya kimya kuhusu kupungua kwa makusanyo ya mapato yake(Rejea kauli ya Rais juzi juzi alipokuwa akiongea kwenye baraza la Biashara).
5/Serikali kiuchumi imekaa kwenye mwelekeo wa kufirisika (Rejea kauli ya CAG kuhusu kasi ya kukua kwa deni la taifa kunako hatarisha kuja kufirisika).
6/Sehemu kubwa ya miradi ya kimaendeleo karibu kila Halmashauri imekwama kabisa kwa sababu ya ukosefu wa pesa japokuwa imo kwenye bajeti ya serikali na ilishatengewa pesa.
Utakuwa unaongea kuhusu Tz. Hapo kwa tribalism eka bombadier.Kweli kabisa sijui chochote kuhusu Kenya zaidi ya tribalism, hunger, crime, police killings, slums, poverty, unemployment, debts, terrorism, and water scarcity.