David Ndii: Tanzania economy is growing faster.

David Ndii: Tanzania economy is growing faster.

Tz hali ni mbaya kupita maelezo, sijui watu wana ujasiri gani kuelezea na kuuponda uchumi wa Kenya
Tatizo la watanzania wengi na hasa watu wa ccm ni hili,hawako tayari kukiri ukweli penye mapungufu,ni kama vile ni dhambi kwao.Hata ukiobserve posts za wabongo humu majukwaani utakuta ni kushambulia,kutukana na kujisifia kila kitu unlike wakenya wana hulka Fulani ya kukiri mapungufu na kueleza way forward,no wonder wanatuita bongolalas tunaojiona malaika tusio na mawaa wakati we have everything lakini still tuko LDC so unashangaa jeuri inatoka wapi
 
Hivi ni vichekesho vya David ndiii
Haihitaji kuwa na Elimu yoyote ya chuo kikuu ya kiuchumi ili kujua kuwa Kiuchumi Tanzania INAZAMA CHINI kwa kasi ya ajabu.

Hizi ni miongoni mwa sababu za wazi kwa kila mtu.
1/Hali ya kiuchumi kwa mtu mmoja mmoja ni ngumu kupita maelezo. Karibu kila mtanzania analalamika vyuma kukaza.

2/Biashara nyingi zinafungwa, zinakufa na kufirisika kwa sasa.

3/Nguvu ya soko katika kuuza na kununua imepungua kwa karibu 50%.

4/Serikali inalalamika kimya kimya kuhusu kupungua kwa makusanyo ya mapato yake(Rejea kauli ya Rais juzi juzi alipokuwa akiongea kwenye baraza la Biashara).

5/Serikali kiuchumi imekaa kwenye mwelekeo wa kufirisika (Rejea kauli ya CAG kuhusu kasi ya kukua kwa deni la taifa kunako hatarisha kuja kufirisika).

6/Sehemu kubwa ya miradi ya kimaendeleo karibu kila Halmashauri imekwama kabisa kwa sababu ya ukosefu wa pesa japokuwa imo kwenye bajeti ya serikali na ilishatengewa pesa.
Tanzania imepata kiongozi ambaye very soon haitakuwa sleeping giant.
Rais Magufuli amechukua madaraka nchi ikiwa kama mafia state katika corruption mwelekeo wake unatupa matumaini kuwa very soon uchumi wa Tanzania ndio utakuwa bora Afrika Mashariki.
 
Tatizo la watanzania wengi na hasa watu wa ccm ni hili,hawako tayari kukiri ukweli penye mapungufu,ni kama vile ni dhambi kwao.Hata ukiobserve posts za wabongo humu majukwaani utakuta ni kushambulia,kutukana na kujisifia kila kitu unlike wakenya wana hulka Fulani ya kukiri mapungufu na kueleza way forward,no wonder wanatuita bongolalas tunaojiona malaika tusio na mawaa wakati we have everything lakini still tuko LDC so unashangaa jeuri inatoka wapi
Usemayo ni kweli, kuongea uongo sio uzalendo bali ni kukiri hali halisi na kukusudia kuondoa madhaifu yakiyopo, nchi hii imejengwa juu ya msingi mbovu wa UNAFIKI, wengi wanaoshabikia upuuzi utakuta ni maskini wa kutupwa lkn hawakomi kumshabikia mkoloni wa kijani.
Tunapaswa kukiri hali mbaya tuliyonayo kama taifa na sio kwa lengo la kuifurahia bali tutafakari ni wapi tumekosea, na tufanye nini kuondokana na hali hii mbaya.
Kwasasa tumekuwa taifa linalotaka sifa za kijinga hata kama tunatumbukizwa shimoni eti tusifie tuuu!!!
Hapana hii haiwezekani
 
Binafsi huwa sijadili maoni ya watu kwenye Twitter, maana hayana utofauti wowote na maoni ya kila mmoja wetu humu. Hivyo ukileta uzi halafu uweke Twitter ndio chanzo chako, napita kimya.
Pili huyu Ndii ni mpinzani tena mwenye hasira na visasi dhidi ya serikali, hivyo lazima aongelee mabaya na kupindisha pindisha, maana takwimu zipo wazi tumewazidi Tanzania kwenye PPP na hata kwenye GDP.
Mkiambiwa ukweli anakuwa mpinzani. Kenya ni nchi nzuri sana economically lakini inataka kiongozi kama Rais Magufuli kufuta corruption.
Serikali ya Uhuru Kenyatta imekopa China bilioni of USD sasa inatafuta pesa IMF na hizo pesa zitaishia kwa kampeni ya Arap mashamba kuwa Rais 2022.

Kenya Lost IMF Credit in June. Someone Tell the Central Bank
 
David ndii clarified that he was using PPP to compare and not GDP-nominal ...
Which many of us here who have agured about our respective economies already know the figures of our PPP, so why do you need David ndii to tell you? Is your intellectual capacities that low?

View attachment 731106
Usijitoe ufahamu. Ndii anamanîsha kuwa PPP ndio kipimo halisi cha uchumi wa nchi duniani.
 
Hivi ni vichekesho vya David ndiii
Haihitaji kuwa na Elimu yoyote ya chuo kikuu ya kiuchumi ili kujua kuwa Kiuchumi Tanzania INAZAMA CHINI kwa kasi ya ajabu.

Hizi ni miongoni mwa sababu za wazi kwa kila mtu.
1/Hali ya kiuchumi kwa mtu mmoja mmoja ni ngumu kupita maelezo. Karibu kila mtanzania analalamika vyuma kukaza.

2/Biashara nyingi zinafungwa, zinakufa na kufirisika kwa sasa.

3/Nguvu ya soko katika kuuza na kununua imepungua kwa karibu 50%.

4/Serikali inalalamika kimya kimya kuhusu kupungua kwa makusanyo ya mapato yake(Rejea kauli ya Rais juzi juzi alipokuwa akiongea kwenye baraza la Biashara).

5/Serikali kiuchumi imekaa kwenye mwelekeo wa kufirisika (Rejea kauli ya CAG kuhusu kasi ya kukua kwa deni la taifa kunako hatarisha kuja kufirisika).

6/Sehemu kubwa ya miradi ya kimaendeleo karibu kila Halmashauri imekwama kabisa kwa sababu ya ukosefu wa pesa japokuwa imo kwenye bajeti ya serikali na ilishatengewa pesa.
To build a new city you need to destroy the old one. Biashara zinazo kufa nizile zilizokuwa zinakwepa kodi. Mimi mbona napiga pesa vizuri.
 
Tunachojua huku Tzn ni maneno mengiii ya kujifariji tu
We are the highest rated in fast growing economies in africa acha upumbavu we don't need your approval to make us feel we are on the right track
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Hali ya kiuchumi iliyopo Tanzania kwa sasa ndio wanayoishi wakenya miaka na miaka,
Kama hujui ndg bora kunyamaza, Wakenya maskini sana wapo lkn Wakenya wengi maisha yao yako juu sana.
Naifahamu Kenya vilivyo, usikubali kusimuliwa kijiweni
 
Hali mbaya kwako sababu ya uzezeta wako unataka JPM akuwekee chakula mdomoni? Utaisoma
anataka apewe zile pesa bure zakipindi cha Kikwete. Pesa inabidi ibanwe iliwatu wazalishe
 
Hali mbaya kwako sababu ya uzezeta wako unataka JPM akuwekee chakula mdomoni? Utaisoma
Acha uzwazwa wewe, mimi nazungumzia hali ya Tanzania kwa ujumla wala sio upande wangu.
Unajifanya unazo wakati ndg zako wanashindwa kununua hata chupi ya mtumba????
 
Hali ya Tanzania ni the third fastest growing economy in africa, una lingine?
Ni makaratasi tu, hujatembea uone hali mbaya za watanzania?
Wanaishi kwenye nyasi, matembe na mapagara hiyo takwimu ya ukuaji uchumi imewasaidiaje?
Watu wanasafiria malori kama mizigo bado unajivunia takwimu hizo?
Vihijini hadi mijini watu wanashinda njaa bado nako huoni aibu?
Biashara nyingi zimefungwa nako hujasikia?

Tujaribu kuwa wakweli hata kama mnakula mezani pa mfalme ndipo muwe vipofu na msione mateso ya Watanzania wengine?
 
Safi sana Prof Ndii,

Huyu jamaa ni msomi wa uhakika wa uchumi duniani, hua haongei kwa ushabiki. Uchumi wa Tz ulianza kukua tangu enzi za Mkapa, Kikwete alindeleza na sasa Magu anazidisha juhudi pale walipoishia wenzake. Hii upward trend ya economic growth ya bongo ilianza miaka zaidi ya 10 iliyopita.

Suburini siku ikifanyika rebasing ya GDP ya Tz kama walivyofanya huko Nigeria na Kenya ndio mtaona nini haswa Prof. Ndii anazungumzia.
 
Ni makaratasi tu, hujatembea uone hali mbaya za watanzania?
Wanaishi kwenye nyasi, matembe na mapagara hiyo takwimu ya ukuaji uchumi imewasaidiaje?
Watu wanasafiria malori kama mizigo bado unajivunia takwimu hizo?
Vihijini hadi mijini watu wanashinda njaa bado nako huoni aibu?
Biashara nyingi zimefungwa nako hujasikia?

Tujaribu kuwa wakweli hata kama mnakula mezani pa mfalme ndipo muwe vipofu na msione mateso ya Watanzania wengine?
Ulitaka yote yatokee ndani ya siku moja? Grow up
 
Pili huyu Ndii ni mpinzani tena mwenye hasira na visasi dhidi ya serikali, hivyo lazima aongelee mabaya na kupindisha pindisha,
Mkuki kwa nguruwe!

Huwa naona hapa ukithamini kila wazo la wapinzani wa Tanzania, nikafikiri unaamini kila wazo la mpinzani huwa ni jema maana walau wao hukosoa ili serikali irekebishe pape ilipokosea. Sasa ukisema Ndii anaongea hayo kwa kuwa ni mpinzani sikuelewi kabisa, tunarudi pale pale.
 
Kwa uchambuzi huu inamaana Kenya uchumi wake unapumulia pabayaCheck out @DavidNdii’s Tweet: Check out @DavidNdii’s Tweet: Hapa ndipo panafurahisha Check out @DavidNdii’s Tweet: Check out @DavidNdii’s Tweet: Check out @DavidNdii’s Tweet:

Ndii yupo NASA,na NASA ni ndugu wa Magufuli tangu mwanzo....Lazima Ndii apige domo sana..

Nimuamini Ndii kwa hili!

Yuko biased kwa jamaa yao Magu!

Hakuna honest hapo....
 
Back
Top Bottom