David Rwenyagira atua rasmi Wasafi FM

David Rwenyagira atua rasmi Wasafi FM

Nimeacha kusikiliza EA radio na radio kwa ujumla kwasababu ya kuondoka hawa watu.
1. Charles William - EA breakfast
2. Zembwela - Super Mix
3. David Rwenyagira - Ndinga mpya town.

Sad ni kwamba huku nilipo sipati Wasafi FM
Mishahara mama,hawajalipwa mwez wa 7 huu,wapo kama vibarua tuu,mzee meng kaenda waliobak wanashindwa manage biashara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakina mpangilo mzuri, wanakiendesha kama kijiwe tu, i think wasafi inabidi walitazame hili. kuwa na watangazaji wazuri tu haitoshi.
Kweli mkuu!! Yaani hata sioni ubora wao ule kwa kukizindua kwa mbwembwe nyingi!! Kiko ovyo ovyo, bado efm ni bora!! Na kwa utafiti wangu mdogo nilioufanya hada dar bado watu wengi wanapenda kusikiliza efm sports!!
 
Nimeacha kusikiliza EA radio na radio kwa ujumla kwasababu ya kuondoka hawa watu.
1. Charles William - EA breakfast
2. Zembwela - Super Mix
3. David Rwenyagira - Ndinga mpya town.

Sad ni kwamba huku nilipo sipati Wasafi FM

Zembwela?

Si mchezo.
 
Kila nikisikiliza redio nilikua nasikiliza EA Drive.. kuondoka kwa huyu jamaa bai bai EA
 
Back
Top Bottom