David Rwenyagira atua rasmi Wasafi FM

David Rwenyagira atua rasmi Wasafi FM

Kuna ukweli fulani.Ninahisi Dj wa kipindi ndio anawakwamisha sana.Yaani kipindi kinakuwa kama kimepoa flani hivi,Hakuna zile mbwembwe na amsha amsha fulani hivi.Kwa kifupi watangazaji wapo vizuri ila bado kuna ladha inakosekana

Sent using Jamii Forums mobile app
mmmmh sasa Dj anahusika vp kwenye kipindi cha michezo...?
 
Kweli mkuu. Sports arena hamna kitu kabisa tofauti na matarajio ya wengi. Hivi Ricardo Momo anafanya nini pale? Hajui kuchambua mpira. Gorge Ambangile anabore kuchanganya lugha mbili wakati anaongea. Kiingereza chenyewe broken. Halafu ana matatizo ya kuchanganya R na L. Kitenge kipayuka tu. Eddo mwenyewe si kivile,,,,. Kimsingi wanapaswa kubadilika otherwise kipindi kitafeli vibaya sana. Namshangaa yule dogo ilitoka Azam kuja kwenye kipindi kama kile

Sent using Jamii Forums mobile app
Mapenzi niue,na yatakuua kweli ndugu.Acha chuki na wivu ndugu.Kwani wewe tukikuuliza Mbwiga anafanya nini pale Sp.Extra utajibu?Vipi yule wa Efm Tena Momo ni fundi najua mpira vizuri.Eti unasema Gorge anaboa,aisee huu uchawi kabisa.
Hakuna kipindi ambacho ni bora 100% .sp.Arena kiko levo kubwa sawa na sp.extra,Sp.Hq.Chuki binafsi peleka pembeni ama la unataka wakopi na kupaste.
Waafrika wengine yani tunajua uchawi tu.Pole sana ndugu.

Hilo ni povu sports arena wajipange

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Povu la nini mkuu???!!ki ukweli mategemeo ya watu wengi juu ya sports arena yalikuwa makubwa sana !!bora hata nisikilize kipindi cha michezo cha abood fm!!kipindi kimepooza kama mkojo wa nyegere??edo kumwembe,na ambangire daaaa!!!ndio maana hadi leo hakijapata mdhamini!!!kifupi hakuna kitu pale acha ajilie mishahara minono tu!!!
Parimatch Ni Nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeacha kusikiliza EA radio na radio kwa ujumla kwasababu ya kuondoka hawa watu.
1. Charles William - EA breakfast
2. Zembwela - Super Mix
3. David Rwenyagira - Ndinga mpya town.

Sad ni kwamba huku nilipo sipati Wasafi FM
Mimi alivyoondoka yule jamaa anaitwa Sebastian alikuwa anatangaza 'The late night show', na yule Steve Kafire wa EA drive, na jamaa moja alikuwa anatangaza na Zembwela kabla ya kusepa na kumuacha Zembwela ..jina nmesahau iv...apo ndo nikawa siskizagi tena EA Radio..

Ooh! Anaitwa Michael Baruti..

Jamaa alikuwa anajua sana..

👇
Ooh! Anaitwa Michael Baruti..

Jamaa alikuwa anajua sana..

Sent using Jamii Forums mobile app

Michael Baruti kama sikosei ni producer wa vipindi vya BBC vya vijana.
 
Hivi Charles William anatangaza kipindi gani hapo WCB na mda gani? David Rwenyagira naye anatangaza mda gani au ndio kusoma magazeti tu na zembwela?
 
Hv uyo Charles alienda wp asee? Jamaa alikuwa anajua sana, au na yy katimkia bbc kimya kimya km yule mdada alokuwaga nae

Back
Top Bottom