MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
charles kaenda wapi na yeye?Nimeacha kusikiliza EA radio na radio kwa ujumla kwasababu ya kuondoka hawa watu.
1. Charles William - EA breakfast
2. Zembwela - Super Mix
3. David Rwenyagira - Ndinga mpya town.
Sad ni kwamba huku nilipo sipati Wasafi FM
Toka radio 5 mpaka huko kweli maisha ni mzunguko,hivi redio 5 ipo kweli? maana haisikikiMtangazaji bora kabisa wa EA radio David Rwenyagira hatimaye naye katua wasafi FM,
Jamaa ni moja ya watu vichwa kabisa alikuwa akitangaza kipindi cha The Drive, ndinga mpya town
Sijajua ila hayupo. Kaja mwingine hana mvuto kabisa na kipindi kimebadilishwa jinacharles kaenda wapi na yeye?
Mishahara mama,hawajalipwa mwez wa 7 huu,wapo kama vibarua tuu,mzee meng kaenda waliobak wanashindwa manage biasharaNimeacha kusikiliza EA radio na radio kwa ujumla kwasababu ya kuondoka hawa watu.
1. Charles William - EA breakfast
2. Zembwela - Super Mix
3. David Rwenyagira - Ndinga mpya town.
Sad ni kwamba huku nilipo sipati Wasafi FM
Mbona hata hicho kipindi cha sport arena chao hakina mvuto ki vile, kulinganisha na kile cha efm?!! Kwa mtazamo wangu bado sana, wako shallow sanaNaona bado tu wasafi wanaendeleza usajili wanataka kuwa Kama real Madrid.
Huo ni mtazamo wako mbona kina idadi kubwa ya watazamaji na wasikilizaji sasa.Mbona hata hicho kipindi cha sport arena chao hakina mvuto ki vile, kulinganisha na kile cha efm?!! Kwa mtazamo wangu bado sana, wako shallow sana
Hakina mpangilo mzuri, wanakiendesha kama kijiwe tu, i think wasafi inabidi walitazame hili. kuwa na watangazaji wazuri tu haitoshi.Mbona hata hicho kipindi cha sport arena chao hakina mvuto ki vile, kulinganisha na kile cha efm?!! Kwa mtazamo wangu bado sana, wako shallow sana
Kweli mkuu!! Yaani hata sioni ubora wao ule kwa kukizindua kwa mbwembwe nyingi!! Kiko ovyo ovyo, bado efm ni bora!! Na kwa utafiti wangu mdogo nilioufanya hada dar bado watu wengi wanapenda kusikiliza efm sports!!Hakina mpangilo mzuri, wanakiendesha kama kijiwe tu, i think wasafi inabidi walitazame hili. kuwa na watangazaji wazuri tu haitoshi.
Nimeacha kusikiliza EA radio na radio kwa ujumla kwasababu ya kuondoka hawa watu.
1. Charles William - EA breakfast
2. Zembwela - Super Mix
3. David Rwenyagira - Ndinga mpya town.
Sad ni kwamba huku nilipo sipati Wasafi FM
Acha uongo sema wewe unaipenda efm.Kweli mkuu!! Yaani hata sioni ubora wao ule kwa kukizindua kwa mbwembwe nyingi!! Kiko ovyo ovyo, bado efm ni bora!! Na kwa utafiti wangu mdogo nilioufanya hada dar bado watu wengi wanapenda kusikiliza efm sports!!
Zembwela yupo vizuri sana. Usimchukulie poa..sijui anaendeleaje huko Wasafi but kwenye supermix alikua poa sanaZembwela?
Si mchezo.
Zembwela yupo vizuri sana. Usimchukulie poa..sijui anaendeleaje huko Wasafi but kwenye supermix alikua poa sana
Kila nikisikiliza redio nilikua nasikiliza EA Drive.. kuondoka kwa huyu jamaa bai bai EA