Mgonga Like
JF-Expert Member
- Mar 30, 2015
- 1,255
- 1,659
Hakika kipngoziHakina mpangilo mzuri, wanakiendesha kama kijiwe tu, i think wasafi inabidi walitazame hili. kuwa na watangazaji wazuri tu haitoshi.
Huo ndo ukweli sports arena bado hakina mvuto kabisaaHuo ni mtazamo wako mbona kina idadi kubwa ya watazamaji na wasikilizaji sasa.
Angekuwa ni fan wa chadema ungeandika hivyo?
Edo na Kitenge bado sana. Sports HQ bado wako vizuri ingawa Sports Arena wanajaribu kukanyaga mule mule.Mbona hata hicho kipindi cha sport arena chao hakina mvuto ki vile, kulinganisha na kile cha efm?!! Kwa mtazamo wangu bado sana, wako shallow sana
Zembwela simkubali kwa kweli. Anajifanya anajua kila kitu.Zembwela yupo vizuri sana. Usimchukulie poa..sijui anaendeleaje huko Wasafi but kwenye supermix alikua poa sana
😅😅, Itakuwa anajua kweliZembwela simkubali kwa kweli. Anajifanya anajua kila kitu.
Nimeacha kusikiliza EA radio na radio kwa ujumla kwasababu ya kuondoka hawa watu.
1. Charles William - EA breakfast
2. Zembwela - Super Mix
3. David Rwenyagira - Ndinga mpya town.
Sad ni kwamba huku nilipo sipati Wasafi FM
Nakuja
Dulla hamna kitu pale.
Download tune inNimeacha kusikiliza EA radio na radio kwa ujumla kwasababu ya kuondoka hawa watu.
1. Charles William - EA breakfast
2. Zembwela - Super Mix
3. David Rwenyagira - Ndinga mpya town.
Sad ni kwamba huku nilipo sipati Wasafi FM
Huko wanapoelekea watakuwa mama laoWasafi baba lao
Owkey