David Rwenyagira atua rasmi Wasafi FM

Jamaa ana stori zake za uongo uongo sana
 
Nimeacha kusikiliza EA radio na radio kwa ujumla kwasababu ya kuondoka hawa watu.
1. Charles William - EA breakfast
2. Zembwela - Super Mix
3. David Rwenyagira - Ndinga mpya town.

Sad ni kwamba huku nilipo sipati Wasafi FM
Upo wapi huko...?
 
Nimeacha kusikiliza EA radio na radio kwa ujumla kwasababu ya kuondoka hawa watu.
1. Charles William - EA breakfast
2. Zembwela - Super Mix
3. David Rwenyagira - Ndinga mpya town.

Sad ni kwamba huku nilipo sipati Wasafi FM
Ungekuw kingamuzi cha azam mambo safi kabisa

Tunda la roho ni upendo
 
Kuna ukweli fulani.Ninahisi Dj wa kipindi ndio anawakwamisha sana.Yaani kipindi kinakuwa kama kimepoa flani hivi,Hakuna zile mbwembwe na amsha amsha fulani hivi.Kwa kifupi watangazaji wapo vizuri ila bado kuna ladha inakosekana
Mbona hata hicho kipindi cha sport arena chao hakina mvuto ki vile, kulinganisha na kile cha efm?!! Kwa mtazamo wangu bado sana, wako shallow sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha uongo sema wewe unaipenda efm.
Povu la nini mkuu???!!ki ukweli mategemeo ya watu wengi juu ya sports arena yalikuwa makubwa sana !!bora hata nisikilize kipindi cha michezo cha abood fm!!kipindi kimepooza kama mkojo wa nyegere??edo kumwembe,na ambangire daaaa!!!ndio maana hadi leo hakijapata mdhamini!!!kifupi hakuna kitu pale acha ajilie mishahara minono tu!!!
 
Huo ndo ukweli sports arena bado hakina mvuto kabisaa
Utafiti mdogo tu aufanye kwa jiji la dsm kuanzia saa tatu asubuhi kwenye daladala ni kipindi kipi knasikilizwa sana cha michezo!!nadhani ndio maana hata wakaona wawahishe saa mja nyuma!!
 
Kweli mkuu. Sports arena hamna kitu kabisa tofauti na matarajio ya wengi. Hivi Ricardo Momo anafanya nini pale? Hajui kuchambua mpira. Gorge Ambangile anabore kuchanganya lugha mbili wakati anaongea. Kiingereza chenyewe broken. Halafu ana matatizo ya kuchanganya R na L. Kitenge kipayuka tu. Eddo mwenyewe si kivile,,,,. Kimsingi wanapaswa kubadilika otherwise kipindi kitafeli vibaya sana. Namshangaa yule dogo ilitoka Azam kuja kwenye kipindi kama kile

Sent using Jamii Forums mobile app
 
katika wachambuzi wa mpira wakali efm za international anayemzidi george ambagile ni nani?! acha chuki zako. george ambangile nimemfatilia sana kwa uchambuzi wake tangia yuko magic fm.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeacha kusikiliza EA radio na radio kwa ujumla kwasababu ya kuondoka hawa watu.
1. Charles William - EA breakfast
2. Zembwela - Super Mix
3. David Rwenyagira - Ndinga mpya town.

Sad ni kwamba huku nilipo sipati Wasafi FM
unaachaje kumsikiliza Ian dialo na dj makey
kuna the cruise pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…