herman joshua
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 1,967
- 3,212
mmmmh sasa Dj anahusika vp kwenye kipindi cha michezo...?Kuna ukweli fulani.Ninahisi Dj wa kipindi ndio anawakwamisha sana.Yaani kipindi kinakuwa kama kimepoa flani hivi,Hakuna zile mbwembwe na amsha amsha fulani hivi.Kwa kifupi watangazaji wapo vizuri ila bado kuna ladha inakosekana
Sent using Jamii Forums mobile app
huijui vzuri EA
Nawasikiliza lkn sio sana kama Rwenyagira alivyokuwepounaachaje kumsikiliza Ian dialo na dj makey
kuna the cruise pia
Mapenzi niue,na yatakuua kweli ndugu.Acha chuki na wivu ndugu.Kwani wewe tukikuuliza Mbwiga anafanya nini pale Sp.Extra utajibu?Vipi yule wa Efm Tena Momo ni fundi najua mpira vizuri.Eti unasema Gorge anaboa,aisee huu uchawi kabisa.Kweli mkuu. Sports arena hamna kitu kabisa tofauti na matarajio ya wengi. Hivi Ricardo Momo anafanya nini pale? Hajui kuchambua mpira. Gorge Ambangile anabore kuchanganya lugha mbili wakati anaongea. Kiingereza chenyewe broken. Halafu ana matatizo ya kuchanganya R na L. Kitenge kipayuka tu. Eddo mwenyewe si kivile,,,,. Kimsingi wanapaswa kubadilika otherwise kipindi kitafeli vibaya sana. Namshangaa yule dogo ilitoka Azam kuja kwenye kipindi kama kile
Sent using Jamii Forums mobile app
Mapenzi niue,na yatakuua kweli ndugu.Acha chuki na wivu ndugu.Kwani wewe tukikuuliza Mbwiga anafanya nini pale Sp.Extra utajibu?Vipi yule wa Efm Tena Momo ni fundi najua mpira vizuri.Eti unasema Gorge anaboa,aisee huu uchawi kabisa.
Hakuna kipindi ambacho ni bora 100% .sp.Arena kiko levo kubwa sawa na sp.extra,Sp.Hq.Chuki binafsi peleka pembeni ama la unataka wakopi na kupaste.
Waafrika wengine yani tunajua uchawi tu.Pole sana ndugu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio kipindi Cha michezo kinachosikilizwa Sana kwa Sasa tanzaniaKuna ukweli fulani.Ninahisi Dj wa kipindi ndio anawakwamisha sana.Yaani kipindi kinakuwa kama kimepoa flani hivi,Hakuna zile mbwembwe na amsha amsha fulani hivi.Kwa kifupi watangazaji wapo vizuri ila bado kuna ladha inakosekana
Sent using Jamii Forums mobile app
Parimatch Ni Nani?Povu la nini mkuu???!!ki ukweli mategemeo ya watu wengi juu ya sports arena yalikuwa makubwa sana !!bora hata nisikilize kipindi cha michezo cha abood fm!!kipindi kimepooza kama mkojo wa nyegere??edo kumwembe,na ambangire daaaa!!!ndio maana hadi leo hakijapata mdhamini!!!kifupi hakuna kitu pale acha ajilie mishahara minono tu!!!
Aisee so sad... jina kubwa, maslahi kiduchu..Mishahara mama,hawajalipwa mwez wa 7 huu,wapo kama vibarua tuu,mzee meng kaenda waliobak wanashindwa manage biashara
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi alivyoondoka yule jamaa anaitwa Sebastian alikuwa anatangaza 'The late night show', na yule Steve Kafire wa EA drive, na jamaa moja alikuwa anatangaza na Zembwela kabla ya kusepa na kumuacha Zembwela ..jina nmesahau iv...apo ndo nikawa siskizagi tena EA Radio..Nimeacha kusikiliza EA radio na radio kwa ujumla kwasababu ya kuondoka hawa watu.
1. Charles William - EA breakfast
2. Zembwela - Super Mix
3. David Rwenyagira - Ndinga mpya town.
Sad ni kwamba huku nilipo sipati Wasafi FM
Ipo mkuu sana tu..jamaa kitambo sana Radio5 paleToka radio 5 mpaka huko kweli maisha ni mzunguko,hivi redio 5 ipo kweli? maana haisikiki
Ooh! Anaitwa Michael Baruti..Mimi alivyoondoka yule jamaa anaitwa Sebastian alikuwa anatangaza 'The late night show', na yule Steve Kafire wa EA drive, na jamaa moja alikuwa anatangaza na Zembwela kabla ya kusepa na kumuacha Zembwela ..jina nmesahau iv...apo ndo nikawa siskizagi tena EA Radio..
Sent using Jamii Forums mobile app
👇Mimi alivyoondoka yule jamaa anaitwa Sebastian alikuwa anatangaza 'The late night show', na yule Steve Kafire wa EA drive, na jamaa moja alikuwa anatangaza na Zembwela kabla ya kusepa na kumuacha Zembwela ..jina nmesahau iv...apo ndo nikawa siskizagi tena EA Radio..
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeacha kusikiliza EA radio na radio kwa ujumla kwasababu ya kuondoka hawa watu.
1. Charles William - EA breakfast
2. Zembwela - Super Mix
3. David Rwenyagira - Ndinga mpya town.
Sad ni kwamba huku nilipo sipati Wasafi FM
Kuna mtu kasema katimkia Wasafi, jamaa yuko vizuri sanaHv uyo Charles alienda wp asee? Jamaa alikuwa anajua sana, au na yy katimkia bbc kimya kimya km yule mdada alokuwaga nae
Sent using Jamii Forums mobile app