johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Wabunge wa Chadema wanakurupuka sana!
Mbunge wa Chadema mh Silinde ameitaka serikali kuiongezea Tozo mizigo ya Zambia iliyoko bandarini kama majibu kwa wao kutufungia mpaka.
Silinde amesema hayo wakati akichangia hotuba ya makadirio ya wizara ya mambo ya nje na kutoa mfano kuwa hata Marekani na China hulipana visasi kwenye vita vya kiuchumi.
Hata hivyo waziri Kabudi alimshushua kwa kumwambia kwamba mpaka haujafungwa.
Chanzo: Star tv
Maendeleo hayana vyama!
Ngoja Chadema watakujibu!Na Zambia akiamua kufunga kabisa njia ya kwenda Congo mtafanyaje?
Ngoja Chadema watakujibu!
Mbona yuko bungeni?!Kwa nini Chadema wakati Silinde sio mwanachama wao?!
Kumbe Chadema wanaonaga mbali sana. Takataka kama hiz zikae na vichaa wenzao huko Lumumba. Hayo ndio mawazo eti ya Mbunge wa ccm mzalendo.Mbunge wa Chadema mh Silinde ameitaka serikali kuiongezea Tozo mizigo ya Zambia iliyoko bandarini kama majibu kwa wao kutufungia mpaka.