Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,118
- 16,485
Viti maalum KongwaMbona yuko bungeni?!
Silinde vitisho vyake vimesaidia unafiki wenu chadema umewadodeaSilinde anajidai mzaleendo na anatafuta kukubalika haraka haraka ndani ya Ccm hapo anaweza ongea ujinga wowote. Watu wajifungie korona wakuache ww uzurure kwao uwapelekee corona kisa uchumi wa nchi yako usiyumbe? Alafu unaongea ujinga bungeni wakisikia hawatajua nimjinga mmoja wanaweza kuhamia Zimbabwe chap! Inapasa tuepuke wabunge wajinga wataicost nchi
waamie huko sasa kama ni rahisi.mbona bado wanang'ang'ania tanzania na wakati kuna corona,Kwanza kutoka Dsm mpaka zambia ni mbali kuliko kutoka msumbiji kwenda Zambia, pili Beira hawana usumbufu udokozi Bandarini kwao ofisini za ushuru ofisi za kutoa mizigo zipo kwenye jengo moja, hawapo zig’zaga kama hapo Dsm ofisi za kutoa mizigo zipo huku kule hovyo hovyo hazipo mtaa mmoja wala jengo moja kama Bandari ya mombasa na pia Beira ambapo bila wakala ukiwa na document zako unatoa mzigo wako mwenyewe, kwa Tanzania ni usumbufu mwingi bila wakala huwezi kutoa mzigo wako mpangilio wa kupoteza mda, hata Malawi kapunguza kupitishia mizigo yake Bandari ya Dsm wapo Beira, Namibia Angola na South Africa
Ujinga utawaisha lini?
Mbunge wa Chadema mh Silinde ameitaka serikali kuiongezea Tozo mizigo ya Zambia iliyoko bandarini kama majibu kwa wao kutufungia mpaka.
Silinde amesema hayo wakati akichangia hotuba ya makadirio ya wizara ya mambo ya nje na kutoa mfano kuwa hata Marekani na China hulipana visasi kwenye vita vya kiuchumi.
Hata hivyo waziri Kabudi alimshushua kwa kumwambia kwamba mpaka haujafungwa.
Chanzo: Star tv
Maendeleo hayana vyama!
Huu utopolo,kama huko ni nafuu unadhani kwanini wanakomaa na Tz?Sasa ukiwaongezea tozo za Transit na port charges ni kumpiga teke chura Bandari ya Beira inagharama nafuu kuliko Dar na unaenda kuiua sekta ya usafirishaji nchini na wengi watahamia Mozambique aluta continua.
Mkuu unadhani watashindwa kwenda kwenda ku negotiate na mamlaka za Msumbiji wakiona huku mnawaletea ujuaji mwingi.Watumie ya Beira. Unajua kilichowafanya wasitumie bandari ya Beira tokea siku zote?
Wanapitisha mizigo yao huko kwa asilimia kadhaa ila mkijifanya wababe wataipitishia huko kwa asilimia 100 halafu hiyo bandari mfugie kukuHuu utopolo,kama huko ni nafuu unadhani kwanini wanakomaa na Tz?
CCM OYEE!MISIMAMO DAIMA
Kutamka ni rahisi tu lakini kiuhalisia ni tofauti kabisa. Nakupa mfano mdogo tu nafikiri utanielewa. Unajua kwa nini mafuta (petrol na diesel) yanayoshushwa Tanga yanakuwa na bei ndogo kuliko yanayoshushwa Dar?Ubabe hauleti suluhu, wanaweza kuamua kutumia bandari ya Beira
Kwanini wasipitishe yote huko kama kuna unafuu?Wanapitisha mizigo yao huko kwa asilimia kadhaa ila mkijifanya wababe wataipitishia huko kwa asilimia 100 halafu hiyo bandari mfugie kuku
Silinde ni mpuuzi hajui hata Diplomasi inakwendaje,sasa kama tumepigwa PINI solution ndio kUPANDISHA KODI? Hivi ukishanunuliwa na NZi wa kijani akili zinapotea?Mbunge wa Chadema mh Silinde ameitaka serikali kuiongezea Tozo mizigo ya Zambia iliyoko bandarini kama majibu kwa wao kutufungia mpaka.
Silinde amesema hayo wakati akichangia hotuba ya makadirio ya wizara ya mambo ya nje na kutoa mfano kuwa hata Marekani na China hulipana visasi kwenye vita vya kiuchumi.
Hata hivyo waziri Kabudi alimshushua kwa kumwambia kwamba mpaka haujafungwa.
Chanzo: Star tv
Maendeleo hayana vyama!
Kwa hiyo wakiamua hivyo hiyo Bandari utaifugia kuku?Kwanini wasipitishe yote huko kama kuna unafuu?
CCM OYEE!MISIMAMO DAIMA
Inashangaza sana aiseeKumbe Chadema wanaonaga mbali sana. Takataka kama hiz zikae na vichaa wenzao huko Lumumba. Hayo ndio mawazo eti ya Mbunge wa ccm mzalendo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha haaaaaaa ... Alooo ukisikia mtu anaongea bila ya kufikiria Du!!!Yaani mtu akifukuzwa chadema au akihamia ccm anakuwa kama Mtoto anayejifunza kuongea
Watatumia ya Luanda AngolaUbabe hauleti suluhu, wanaweza kuamua kutumia bandari ya Beira