David Silinde: Ili kuwakomesha Zambia kwa kutufungia mpaka, Serikali yetu iwaongezee Tozo kwenye mizigo yao iliyopo bandarini Dsm

David Silinde: Ili kuwakomesha Zambia kwa kutufungia mpaka, Serikali yetu iwaongezee Tozo kwenye mizigo yao iliyopo bandarini Dsm

Silinde anajidai mzaleendo na anatafuta kukubalika haraka haraka ndani ya Ccm hapo anaweza ongea ujinga wowote. Watu wajifungie korona wakuache ww uzurure kwao uwapelekee corona kisa uchumi wa nchi yako usiyumbe? Alafu unaongea ujinga bungeni wakisikia hawatajua nimjinga mmoja wanaweza kuhamia Zimbabwe chap! Inapasa tuepuke wabunge wajinga wataicost nchi
Silinde vitisho vyake vimesaidia unafiki wenu chadema umewadodea
1589457749247.png
 
Huyo ni mpinzani dadeki, utadhani bandari ipo moja Africa

Makosa kama haya mwisho October
 
Zambia ana options nyingi sana so tutajisumbua sisi wenyewe. Silinde kaanza ushoga.
 
Kwanza kutoka Dsm mpaka zambia ni mbali kuliko kutoka msumbiji kwenda Zambia, pili Beira hawana usumbufu udokozi Bandarini kwao ofisini za ushuru ofisi za kutoa mizigo zipo kwenye jengo moja, hawapo zig’zaga kama hapo Dsm ofisi za kutoa mizigo zipo huku kule hovyo hovyo hazipo mtaa mmoja wala jengo moja kama Bandari ya mombasa na pia Beira ambapo bila wakala ukiwa na document zako unatoa mzigo wako mwenyewe, kwa Tanzania ni usumbufu mwingi bila wakala huwezi kutoa mzigo wako mpangilio wa kupoteza mda, hata Malawi kapunguza kupitishia mizigo yake Bandari ya Dsm wapo Beira, Namibia Angola na South Africa
waamie huko sasa kama ni rahisi.mbona bado wanang'ang'ania tanzania na wakati kuna corona,

embu kawashauri malawi wapitishie mizigo yao msumbiji na south africa na waache maramoja kupitishia tanzania kama wanajeuri hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanafikiri bandari tunayo sisi tu hawa nzi wa kijani.

Wasisahau Zambia wanatumia bandari yetu kwa ajili ya urafiki na ujirani mwema tulionao.

Vinginevyo they can opt to use Beira port.

Subiri wachemshe hiyo dawa then watakunywa wanalumumba wote na itakayobaki watatupatia sisi tusiohusika na ujinga wao.
Ujinga utawaisha lini?

sent using Simenzi mayai
 
Naona TZ ndio nchi pekee yenye bandari! Kwani hawawezi kuamua kupitisha mzigo Msumbiji?
Mbunge wa Chadema mh Silinde ameitaka serikali kuiongezea Tozo mizigo ya Zambia iliyoko bandarini kama majibu kwa wao kutufungia mpaka.

Silinde amesema hayo wakati akichangia hotuba ya makadirio ya wizara ya mambo ya nje na kutoa mfano kuwa hata Marekani na China hulipana visasi kwenye vita vya kiuchumi.
Hata hivyo waziri Kabudi alimshushua kwa kumwambia kwamba mpaka haujafungwa.

Chanzo: Star tv

Maendeleo hayana vyama!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa ukiwaongezea tozo za Transit na port charges ni kumpiga teke chura Bandari ya Beira inagharama nafuu kuliko Dar na unaenda kuiua sekta ya usafirishaji nchini na wengi watahamia Mozambique aluta continua.
Huu utopolo,kama huko ni nafuu unadhani kwanini wanakomaa na Tz?

CCM OYEE!MISIMAMO DAIMA
 
Watumie ya Beira. Unajua kilichowafanya wasitumie bandari ya Beira tokea siku zote?
Mkuu unadhani watashindwa kwenda kwenda ku negotiate na mamlaka za Msumbiji wakiona huku mnawaletea ujuaji mwingi.

Hiyo sababu iliyosababisha washindwe kuitumia bandari ya beira inawezekana kuisuluhisha halafu ndio sisi tukakosa dili.

sent using Simenzi mayai
 
Huu utopolo,kama huko ni nafuu unadhani kwanini wanakomaa na Tz?

CCM OYEE!MISIMAMO DAIMA
Wanapitisha mizigo yao huko kwa asilimia kadhaa ila mkijifanya wababe wataipitishia huko kwa asilimia 100 halafu hiyo bandari mfugie kuku
 
Ubabe hauleti suluhu, wanaweza kuamua kutumia bandari ya Beira
Kutamka ni rahisi tu lakini kiuhalisia ni tofauti kabisa. Nakupa mfano mdogo tu nafikiri utanielewa. Unajua kwa nini mafuta (petrol na diesel) yanayoshushwa Tanga yanakuwa na bei ndogo kuliko yanayoshushwa Dar?
 
Wanapitisha mizigo yao huko kwa asilimia kadhaa ila mkijifanya wababe wataipitishia huko kwa asilimia 100 halafu hiyo bandari mfugie kuku
Kwanini wasipitishe yote huko kama kuna unafuu?

CCM OYEE!MISIMAMO DAIMA
 
Mbunge wa Chadema mh Silinde ameitaka serikali kuiongezea Tozo mizigo ya Zambia iliyoko bandarini kama majibu kwa wao kutufungia mpaka.

Silinde amesema hayo wakati akichangia hotuba ya makadirio ya wizara ya mambo ya nje na kutoa mfano kuwa hata Marekani na China hulipana visasi kwenye vita vya kiuchumi.
Hata hivyo waziri Kabudi alimshushua kwa kumwambia kwamba mpaka haujafungwa.

Chanzo: Star tv

Maendeleo hayana vyama!
Silinde ni mpuuzi hajui hata Diplomasi inakwendaje,sasa kama tumepigwa PINI solution ndio kUPANDISHA KODI? Hivi ukishanunuliwa na NZi wa kijani akili zinapotea?
 
Back
Top Bottom