David Silinde: Ili kuwakomesha Zambia kwa kutufungia mpaka, Serikali yetu iwaongezee Tozo kwenye mizigo yao iliyopo bandarini Dsm

Jiwe ajidanganye kufanya hivyo atajionea mwenyewe kitakachotokea. Nilitegemea Silinde aifahamu japo kidogo jiografia ya Zambia. Tofauti ya umbali kutoka Lusaka hadi Dar na Lusaka hadi bandari ya Benguela iliyopo Angola ni kilometers 75.3. Ongezeni tozo muinufaishe Angola na South Africa.
 
Poti umeongea kwa hisia sana Kama huyu bwanamdogo anapitia humu basi ana wajibu wa kuwaomba radhi wanatunduma kupitia ushauri huu

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Hiyo haitoshi angependekeza wawapige marufuku kupitishia mizigo yao Dar. Kwa nini wanakataa Corona kutoka kwetu? Mbona sisi hatuna pressure na Corona kutoka kwao?

Hii haukubaliki wasipite kabisa huku.

Kwanza Corona yenyewe ni kaupepo tu.
 
Hiyo haitoshi angependekeza wawapige marufuku kupitishia mizigo yao Dar. Kwa nini wanakataa Corona kutoka kwetu? Mbona sisi hatuna pressure na Corona kutoka kwao?

Hii haukubaliki wasipite kabisa huku.

Kwanza Corona yenyewe ni kaupepo tu.
Tanzania kuna Corona kuliko Nchi zote za ukanda huu wa Africa mashariki wana haki ya kukataa kupelekewa corona kizembe zembe kwani Serikali ya CCM imeachia watu wakae vijiweni vibarazani makanisani misikitini misibani waambukizane kwa wingi wapate kisingizio cha kuahirisha uchaguzi mkuu, mataifa Jirani wanajua kuwa Tanzania wanataka watu wafe kwa wingi iwe ni kafara ya CCM kuendelea kukaa madarakani kisha iwanunue wapinzani wote ivuruge mfumo wa vyama vingi kwa kusajili vyama vingine vingi kama congo kisha wanavichonganisha wakati vikigombana wao wanachanja mbuga
 

Ipo haja ya kuwakomalia hawa jamaa na hasa hasa jiwe huyo ndiyo mwenye lake jambo.

Siamini anauungwaji wowote mkono kwenye hili CCM wala serikalini.

Walioko wako kimya kulinda matumbo yao tu.
 
Acha mawazo mgando,so wa Tz hatuna kazi na bandari ama mpaka nikuchanganulie kila kitu.

CCM OYEE!MISIMAMO DAIMA
Kwa hiyo Bandari ikiwa inapokea tumizigo twa ndani kwako wewe ni sawa tu.

Acha kuiaibisha avatar ya jf
 
Watatumia ya Luanda Angola

Sent using Jamii Forums mobile app
Zambia kwa sasa hutumia Bandari ya Dsm kwa 25% tu na kikubwa ni mafuta ya magari na magari yenyewe ambayo siyo meng sana kama zamani, na Pia husafirisha Copier kiasi hasa ile inayokwenda bara la Asia kupitia bahari ya hindi ,lakini bidhaa kutoka America yote hutumia Bandari ya Angola, Namibia, msumbiji na South Africa hasa magari mengi hupitia sauti Africa , sasa waneanza kuchukua mafuta msumbiji na endapo Bunge litaendelea kuwasiliza wabunge vilaza watahamishia huko kila kitu tutabakia kufanya biashara zingine za kawaida mipakani kama tulivyokuwa na kenya
 
Bado huna hoja zaidi ya kuandika upuuzi. Hebu mwabie yule king wa mafichoni apige marufuku Zambia kupitisha mizigo yao bandari ya Dar ili tuone watakavyokufa njaa.
 
Acha mawazo mgando,so wa Tz hatuna kazi na bandari ama mpaka nikuchanganulie kila kitu.

CCM OYEE!MISIMAMO DAIMA
Zambia kwa ukanda huu ndiye mteja mkubwa wa Bandari ya Dsm akifuatiwa na Malawi Burundi na Congo, wengine Uganda Rwanda hupitisha bidhaa kiasi na zile nyingi hupitishia Bandari ya mombasa kenya.
 
Bado huna hoja zaidi ya kuandika upuuzi. Hebu mwabie yule king wa mafichoni apige marufuku Zambia kupitisha mizigo yao bandari ya Dar ili tuone watakavyokufa njaa.
Waasi wa Renamo hawana nguvu nawapo mbali na njia ya kutoka Bandari ya Beira kwenda Zambia, na hao waasi wapo kwenye misitu ya Jiran na Tanzania
 
 
Mnavyojifanya machizi kama hamjui huo usajili wenu wa manunuzi kama kawaida
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Silinde ni aina ya wabunge vilaza hajui hata Ramani ya zambia hajui kuwa zambia imezungukwa na Bandari nyingi, hatambui kuwa sasa Ndege za mizigo za Urusi zimeimarishwa sana kiasi cha kutishia meli za mizigo Duniani.
 
Sikujua kuwa jamaa ni sifuri kiasi hicho bora wamefurusha akawe Mbunge wa Spika kuliko kuwa na mtu wa hivyo
Silinde ni mbumbumbu kilaza ni mbunge juha kabsa hana anachojua zaidi ya unafiki
 
Silinde analeta za maamuzi ya "ukichaa kichaa" ule ambao Mafichoni King anaupenda. Hapo anatumaini Mafichoni King anamuona na anaweza kumkumbuka hata uDC iwapo atashindwa kurudi Bungeni. Ila asisahau huyo Mafichoni King anaweza akaishia muhula 1.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…