Serikali ikifanya hivyo ndio imejichimbia kaburi maana wao ndio wanatupa kipato kikubwa sana pale bandariniMbunge wa Chadema mh Silinde ameitaka serikali kuiongezea Tozo mizigo ya Zambia iliyoko bandarini kama majibu kwa wao kutufungia mpaka.
Silinde amesema hayo wakati akichangia hotuba ya makadirio ya wizara ya mambo ya nje na kutoa mfano kuwa hata Marekani na China hulipana visasi kwenye vita vya kiuchumi.
Hata hivyo waziri Kabudi alimshushua kwa kumwambia kwamba mpaka haujafungwa.
Chanzo: Star tv
Maendeleo hayana vyama!
Labda mpaka unaofugwa pale ikulu.zambia na kenya sasa hakatizi mtu yeyote na corona yenu hadi mapapai si aibu hii.
[emoji13] [emoji13] Hutaki kabisa kuamini kuwa Silinde sio mwanachama tena wa CDM?Ngoja Chadema watakujibu!
chadema hamna ushauri wowote wa maanaNamsema Silinde sababu anaijua Tunduma nje ndani, alipaswa kushauli kidiplomasia na sio jino kwa jino kama anavyotaka.
Maana mpaka sasa wanachi wake hapa Tunduma wanapumulia mipira. Hali mbaya kila kitu kimesimama.
Wanakesha usiku na mchana Zambia iachie mpaka maisha yaendelee kama siku zote.
ujue beira to lusaka is almost 1050kms, wakati dar to lusaka is almost 1950kms hv.......wajinga sana hawa!I had two customers last two years from Zambia.. Hawa jamaa waliniambia DSM port ina bureaucracy sana.
Hivyo walihamia bandari Beira nadhani sio mbali sana na kwao.
Hivyo waache tu wajisahau watabaki na mizigo ya DRC na mdugu yao Kagame.
sent using Simenzi mayai
Silinde is a de facto CCM member. Hilo liko wazi.
Labda wanakuwa na mchecheto wa kutaka kuthibitisha kuwa wao ni wazalendo kwelikweli kuliko Nyerere.Wakiendaga ccm wanakuwa wajinga ghafla sijui kwa nini?
Ujinga utawaisha lini?Zambia wasubirie dawa yao iko jikoni
Sio Spika ni Ndugai.Muulize Spika
Ccm huwa akili finyuNa Zambia akiamua kufunga kabisa njia ya kwenda Congo mtafanyaje?
Wanashindwa kutofautisha ujinga na uzalendoLabda wanakuwa na mchecheto wa kutaka kuthibitisha kuwa wao ni wazalendo kwelikweli kuliko Nyerere.
The Mafichoni King. Kama namuona vile "nyie pigeni kazi huko"Yule bwana aliyejificha anaweza akaupokea ushauri huo
Jiwe kapanga kumgawaia Shonza hilo. Huyo Silinde angojee u DC.Mkuu kachukue Jimbo la Silinde!!
Pointi ya hovyo sana, yaani anadhani Zambia wanatumia Tanzania pekee8 kupitisha bidhaa zao? Yaani hujui jinsi Tanzania inavyopambana kuhakikisha kuwa mizigo ya Zambia haipitii Beira na Afrika Kusini wala asingetoa hiyo hoja ambayo ni ya kijinga na isiyopaswa kutolewa na mtu mwenye kiwango cha elimu ya Silinde.Mbunge wa Chadema mh Silinde ameitaka serikali kuiongezea Tozo mizigo ya Zambia iliyoko bandarini kama majibu kwa wao kutufungia mpaka.
Silinde amesema hayo wakati akichangia hotuba ya makadirio ya wizara ya mambo ya nje na kutoa mfano kuwa hata Marekani na China hulipana visasi kwenye vita vya kiuchumi.
Hata hivyo waziri Kabudi alimshushua kwa kumwambia kwamba mpaka haujafungwa.
Chanzo: Star tv
Maendeleo hayana vyama!
Ubabe hauleti suluhu, wanaweza kuamua kutumia bandari ya Beira
[/QUOTE
funga bomba la mafuta na reli ya tazara. stopZambia wasubirie dawa yao iko jikoni
Sasa kwa huo ushauri wake si ndio wa kibwege kabisa. Ukiongeza tozo hao wanahamia Beira jumla hapo unakua umeumia mwenyewe na bado raia wako hawaingii Zambia. Ni upuuzi tu hapo. Angekuja na suluhisho lingine lenye maana.silinde hongera kwa kupigania wapiga kura wako ambao biashara zao zimefungwa maduka yao upande wa zambia hawawezi kwenda.Jimbo lake linapakana na Zambia ambako maelfu ya wafanyabiashara wa Tanzania hawawezi fanya biashara zambia ambako ndio tegemeo lake kubwa
Silinde haongelei tu hewani anaongelea wapiga kura wa jimbo lake la Momba
KOsa la pili chadema wanafanya kumzomea mbunge asiongelee maslahi ya wapiga kura wake wanaoumia kwa mpaka wa zambia kufungwa
Islamist insurgents have seized control of a key town in northern Mozambique, close to where foreign companies are working on a $60bn (£52bn) natural gas project.Watumie ya Beira. Unajua kilichowafanya wasitumie bandari ya Beira tokea siku zote?