David Silinde: Ili kuwakomesha Zambia kwa kutufungia mpaka, Serikali yetu iwaongezee Tozo kwenye mizigo yao iliyopo bandarini Dsm

David Silinde: Ili kuwakomesha Zambia kwa kutufungia mpaka, Serikali yetu iwaongezee Tozo kwenye mizigo yao iliyopo bandarini Dsm

Mbunge wa Chadema mh Silinde ameitaka serikali kuiongezea Tozo mizigo ya Zambia iliyoko bandarini kama majibu kwa wao kutufungia mpaka.

Silinde amesema hayo wakati akichangia hotuba ya makadirio ya wizara ya mambo ya nje na kutoa mfano kuwa hata Marekani na China hulipana visasi kwenye vita vya kiuchumi.
Hata hivyo waziri Kabudi alimshushua kwa kumwambia kwamba mpaka haujafungwa.

Chanzo: Star tv

Maendeleo hayana vyama!
Serikali ikifanya hivyo ndio imejichimbia kaburi maana wao ndio wanatupa kipato kikubwa sana pale bandarini
 
Namsema Silinde sababu anaijua Tunduma nje ndani, alipaswa kushauli kidiplomasia na sio jino kwa jino kama anavyotaka.

Maana mpaka sasa wanachi wake hapa Tunduma wanapumulia mipira. Hali mbaya kila kitu kimesimama.

Wanakesha usiku na mchana Zambia iachie mpaka maisha yaendelee kama siku zote.
chadema hamna ushauri wowote wa maana
JIno kwa jino ni njia pia ya kidipromasia ndio maana Tanzania ilienda kuitandika Uganda wakati wa IDD amin

njia nyingine ya kidipromasia ni kuwa na One stop centre ya kupima corona mipakani ambayo madaktari wa pande zote watakuwa sehemu moja wakipima wafanya biashara kutoka kila upande kwa pamoja wazima waendelee na shughuli zao badala ya sasa ya kila upande kujiamulia.Kama kuna one stop centre za kibiashara mipakani kwa nini isiwepo ya ki daktari?

Silinde kaonyesha msimamo wa kutetea nchi yake wakati wewe na Chadema wenzio wajinga mumelalia moja kwa moja upande wa zambia bila kichwa kukibakiza Tanzania!!!!

Silinde yuko OK kalalia moja kwa moja upande wa Tanzania tofauti na nyie

Ushauri wenu kwenye issue za kimataifa huwaanika wazi kuwa ni vibaraka tu nyie wa watu wa nje huwa hamna solution ya kutetea watanzania zaidi ya watu wa nje

Haya ni mapungufu makubwa mno ya CHADEMA na hata ACT wazalendo wana jina la wazalendo lakini uzalendo hamna!!!!
 
I had two customers last two years from Zambia.. Hawa jamaa waliniambia DSM port ina bureaucracy sana.

Hivyo walihamia bandari Beira nadhani sio mbali sana na kwao.

Hivyo waache tu wajisahau watabaki na mizigo ya DRC na mdugu yao Kagame.

sent using Simenzi mayai
ujue beira to lusaka is almost 1050kms, wakati dar to lusaka is almost 1950kms hv.......wajinga sana hawa!
 
Hv Kuna uhusiano gani kati ya ujinga na ccm huyu mwamba alipokuwa CDM mbona alikuwa anatema point nini kimetokea ghafla hv
 
Mbunge wa Chadema mh Silinde ameitaka serikali kuiongezea Tozo mizigo ya Zambia iliyoko bandarini kama majibu kwa wao kutufungia mpaka.

Silinde amesema hayo wakati akichangia hotuba ya makadirio ya wizara ya mambo ya nje na kutoa mfano kuwa hata Marekani na China hulipana visasi kwenye vita vya kiuchumi.
Hata hivyo waziri Kabudi alimshushua kwa kumwambia kwamba mpaka haujafungwa.

Chanzo: Star tv

Maendeleo hayana vyama!
Pointi ya hovyo sana, yaani anadhani Zambia wanatumia Tanzania pekee8 kupitisha bidhaa zao? Yaani hujui jinsi Tanzania inavyopambana kuhakikisha kuwa mizigo ya Zambia haipitii Beira na Afrika Kusini wala asingetoa hiyo hoja ambayo ni ya kijinga na isiyopaswa kutolewa na mtu mwenye kiwango cha elimu ya Silinde.

Vv

Vv

Sent using Jamii Forums mobile app
 
silinde hongera kwa kupigania wapiga kura wako ambao biashara zao zimefungwa maduka yao upande wa zambia hawawezi kwenda.Jimbo lake linapakana na Zambia ambako maelfu ya wafanyabiashara wa Tanzania hawawezi fanya biashara zambia ambako ndio tegemeo lake kubwa

Silinde haongelei tu hewani anaongelea wapiga kura wa jimbo lake la Momba

KOsa la pili chadema wanafanya kumzomea mbunge asiongelee maslahi ya wapiga kura wake wanaoumia kwa mpaka wa zambia kufungwa
Sasa kwa huo ushauri wake si ndio wa kibwege kabisa. Ukiongeza tozo hao wanahamia Beira jumla hapo unakua umeumia mwenyewe na bado raia wako hawaingii Zambia. Ni upuuzi tu hapo. Angekuja na suluhisho lingine lenye maana.
 
Watumie ya Beira. Unajua kilichowafanya wasitumie bandari ya Beira tokea siku zote?
Islamist insurgents have seized control of a key town in northern Mozambique, close to where foreign companies are working on a $60bn (£52bn) natural gas project.

The militants staged an overnight attack on Mocimboa de Praia, taking a military base and raising their flag, police said.

The army and police have launched a counter-offensive, police added.

This is the first time Mozambican jihadists have attacked a major town.

They usually attack villages and farms.

Panicked residents said the fighters had blocked all exit routes, and they could not leave the town.

"They are taking residents to the mosque and locking them there," the privately owned Moz24h website quoted a resident as saying.

Hundreds have been killed and thousands displaced during the three-year insurgency in Cabo Delgado.

The government has battled to curb the insurgency, despite support from a Russian military company.

The militants call themselves al-Shabab although it is unclear whether they are linked to the significantly larger Somali movement of the same name.

Cabo Delgado is one of Mozambique's poorest regions, but it is rich in untapped mineral resources.

In 2010, Mozambique discovered huge gas reserves in Rovuma Basin, off the Indian Ocean coast of Cabo Delgado.

Last October, ExxonMobil unveiled plans to invest more than $500m in the initial construction phase of its gas project in the region.

source:Jihadists seize Mozambique town in gas-rich region
 
Back
Top Bottom