NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
tanzania ndio hurb ya east africa.siku wakizidiwa wakafungua mipaka mtapata aibu sana.Labda mpaka unaofugwa pale ikulu.zambia na kenya sasa hakatizi mtu yeyote na corona yenu hadi mapapai si aibu hii.
Serikali ya CCM wapo busy Dodoma kuwakomoa wabunge wa chadema kero wanazopata watanzania waliopo mipakani wamezitelekeza kabsaNa serikali ya Zambia Wala haina roho mbaya kama serikali ya Tanzania.
Zambia licha ya kuwa walifunga mipaka walikuwa wakiruhusu magari ya mafuta kupita bila kikwazo, walizuia magari mengine yote wakaacha ya mafuta pekeetanzania ndio hurb ya east africa.siku wakizidiwa wakafungua mipaka mtapata aibu sana.
mda si mrefu watafungua watakapozidiwa na njaa na uhaba wa bidhaa,
Sent using Jamii Forums mobile app
Shame on you na chadema wenzioView attachment 1449975
Beira Corridor loading....
Daresalam Port inakabiliwa na ushindani mkubwa kuliko kipindi chochote na mkileta siasa za kijinga itabaki ya kupeleka mzigo Bujumbura tu
shame on you vitisho vimesaidiaNamsema Silinde sababu anaijua Tunduma nje ndani, alipaswa kushauli kidiplomasia na sio jino kwa jino kama anavyotaka.
Maana mpaka sasa wanachi wake hapa Tunduma wanapumulia mipira. Hali mbaya kila kitu kimesimama.
Wanakesha usiku na mchana Zambia iachie mpaka maisha yaendelee kama siku zote.
Mimi nakuoa facts kwa sababu nilikuwa mdau sekta husikaShame on you na chadema wenzio
View attachment 1449982
ULIKUWA SASA HIVI HUPO YOU ARE OUTDATEDMimi nakuoa facts kwa sababu nilikuwa mdau sekta husika
Kwanza kutoka Dsm mpaka zambia ni mbali kuliko kutoka msumbiji kwenda Zambia, pili Beira hawana usumbufu udokozi Bandarini kwao ofisini za ushuru ofisi za kutoa mizigo zipo kwenye jengo moja, hawapo zig’zaga kama hapo Dsm ofisi za kutoa mizigo zipo huku kule hovyo hovyo hazipo mtaa mmoja wala jengo moja kama Bandari ya mombasa na pia Beira ambapo bila wakala ukiwa na document zako unatoa mzigo wako mwenyewe, kwa Tanzania ni usumbufu mwingi bila wakala huwezi kutoa mzigo wako mpangilio wa kupoteza mda, hata Malawi kapunguza kupitishia mizigo yake Bandari ya Dsm wapo Beira, Namibia Angola na South AfricaView attachment 1449975
Beira Corridor loading....
Daresalam Port inakabiliwa na ushindani mkubwa kuliko kipindi chochote na mkileta siasa za kijinga itabaki ya kupeleka mzigo Bujumbura tu
Ukweli Bandari ya Dsm imejaa mapungufu mengi hata congo nao sasa wanatumia congo Brazzaville na msumbiji na hata Ndege za mizigo za kirusi kusafirisha mizigo yao.Mimi nakuoa facts kwa sababu nilikuwa mdau sekta husika
Unajua upuuzi wa serikali ya ccm unawaamsha hao jamaa wa Malawi Zimbabwe na Zambia DrcKwanza kutoka Dsm mpaka zambia ni mbali kuliko kutoka msumbiji kwenda Zambia, pili Beira hawana usumbufu udokozi Bandarini kwa
Dua lako la kuku na chadema wenzio limeyeyukia hewaniKwanza kutoka Dsm mpaka zambia ni mbali kuliko kutoka msumbiji kwenda Zambia, pili Beira hawana usumbufu udokozi Bandarini kwao ofisini za ushuru ofisi za kutoa mizigo zipo kwenye jengo moja, hawapo zig’zaga kama hapo Dsm ofisi za kutoa mizigo zipo huku kule hovyo hovyo hazipo mtaa mmoja wala jengo moja kama Bandari ya mombasa na pia Beira ambapo bila wakala ukiwa na document zako unatoa mzigo wako mwenyewe, kwa Tanzania ni usumbufu mwingi bila wakala huwezi kutoa mzigo wako mpangilio wa kupoteza mda, hata Malawi kapunguza kupitishia mizigo yake Bandari ya Dsm wapo Beira, Namibia Angola na South Africa
Labda mizigo ya Zambia inayopitishwa hapa ni kama kwenda kununua vitu KariakooUshauri wake sio mzuri, serikali ikiongeza tozo itawapoteza baadhi ya wateja
Mbona yuko bungeni?!
Silinde sio mbunge wa Chadema! Huyo ni mbunge wa Ndugai! Sorry nipo nje ya mada
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani mtu kafukuzwa tu juzi leo kichwa kitupu 😀 😀Ubabe hauleti suluhu, wanaweza kuamua kutumia bandari ya Beira