David Silinde: Ili kuwakomesha Zambia kwa kutufungia mpaka, Serikali yetu iwaongezee Tozo kwenye mizigo yao iliyopo bandarini Dsm

David Silinde: Ili kuwakomesha Zambia kwa kutufungia mpaka, Serikali yetu iwaongezee Tozo kwenye mizigo yao iliyopo bandarini Dsm

Labda mpaka unaofugwa pale ikulu.zambia na kenya sasa hakatizi mtu yeyote na corona yenu hadi mapapai si aibu hii.
tanzania ndio hurb ya east africa.siku wakizidiwa wakafungua mipaka mtapata aibu sana.

mda si mrefu watafungua watakapozidiwa na njaa na uhaba wa bidhaa,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na serikali ya Zambia Wala haina roho mbaya kama serikali ya Tanzania.
Serikali ya CCM wapo busy Dodoma kuwakomoa wabunge wa chadema kero wanazopata watanzania waliopo mipakani wamezitelekeza kabsa
 
tanzania ndio hurb ya east africa.siku wakizidiwa wakafungua mipaka mtapata aibu sana.

mda si mrefu watafungua watakapozidiwa na njaa na uhaba wa bidhaa,

Sent using Jamii Forums mobile app
Zambia licha ya kuwa walifunga mipaka walikuwa wakiruhusu magari ya mafuta kupita bila kikwazo, walizuia magari mengine yote wakaacha ya mafuta pekee
 
downloadfile-1.jpg

Beira Corridor loading....

Daresalam Port inakabiliwa na ushindani mkubwa kuliko kipindi chochote na mkileta siasa za kijinga itabaki ya kupeleka mzigo Bujumbura tu
 
😐😐😐😐😐

Jamaaaa nae keshakua na "Mwenendo usio sahihi" yaani mtindio wa ubongo.
 
Namsema Silinde sababu anaijua Tunduma nje ndani, alipaswa kushauli kidiplomasia na sio jino kwa jino kama anavyotaka.

Maana mpaka sasa wanachi wake hapa Tunduma wanapumulia mipira. Hali mbaya kila kitu kimesimama.

Wanakesha usiku na mchana Zambia iachie mpaka maisha yaendelee kama siku zote.
shame on you vitisho vimesaidia
1589456853625.png
 
View attachment 1449975
Beira Corridor loading....

Daresalam Port inakabiliwa na ushindani mkubwa kuliko kipindi chochote na mkileta siasa za kijinga itabaki ya kupeleka mzigo Bujumbura tu
Kwanza kutoka Dsm mpaka zambia ni mbali kuliko kutoka msumbiji kwenda Zambia, pili Beira hawana usumbufu udokozi Bandarini kwao ofisini za ushuru ofisi za kutoa mizigo zipo kwenye jengo moja, hawapo zig’zaga kama hapo Dsm ofisi za kutoa mizigo zipo huku kule hovyo hovyo hazipo mtaa mmoja wala jengo moja kama Bandari ya mombasa na pia Beira ambapo bila wakala ukiwa na document zako unatoa mzigo wako mwenyewe, kwa Tanzania ni usumbufu mwingi bila wakala huwezi kutoa mzigo wako mpangilio wa kupoteza mda, hata Malawi kapunguza kupitishia mizigo yake Bandari ya Dsm wapo Beira, Namibia Angola na South Africa
 
Mimi nakuoa facts kwa sababu nilikuwa mdau sekta husika
Ukweli Bandari ya Dsm imejaa mapungufu mengi hata congo nao sasa wanatumia congo Brazzaville na msumbiji na hata Ndege za mizigo za kirusi kusafirisha mizigo yao.
 
Kwanza kutoka Dsm mpaka zambia ni mbali kuliko kutoka msumbiji kwenda Zambia, pili Beira hawana usumbufu udokozi Bandarini kwa
Unajua upuuzi wa serikali ya ccm unawaamsha hao jamaa wa Malawi Zimbabwe na Zambia Drc

Wao ni mabingwa wa kuua sekta mbalimbali kama hivi juzi kati Wameua korosho kwa mambo ya kijinga
 
Nilizani CDM waliiswaga hii mbuzi kwa bahati mbaya. Haoni km Zambia have genuine reasons to close their border.
 
Kwanza kutoka Dsm mpaka zambia ni mbali kuliko kutoka msumbiji kwenda Zambia, pili Beira hawana usumbufu udokozi Bandarini kwao ofisini za ushuru ofisi za kutoa mizigo zipo kwenye jengo moja, hawapo zig’zaga kama hapo Dsm ofisi za kutoa mizigo zipo huku kule hovyo hovyo hazipo mtaa mmoja wala jengo moja kama Bandari ya mombasa na pia Beira ambapo bila wakala ukiwa na document zako unatoa mzigo wako mwenyewe, kwa Tanzania ni usumbufu mwingi bila wakala huwezi kutoa mzigo wako mpangilio wa kupoteza mda, hata Malawi kapunguza kupitishia mizigo yake Bandari ya Dsm wapo Beira, Namibia Angola na South Africa
Dua lako la kuku na chadema wenzio limeyeyukia hewani
1589457514213.png
 
Silinde anajidai mzaleendo na anatafuta kukubalika haraka haraka ndani ya Ccm hapo anaweza ongea ujinga wowote. Watu wajifungie korona wakuache ww uzurure kwao uwapelekee corona kisa uchumi wa nchi yako usiyumbe? Alafu unaongea ujinga bungeni wakisikia hawatajua nimjinga mmoja wanaweza kuhamia Zimbabwe chap! Inapasa tuepuke wabunge wajinga wataicost nchi
 
Siasa za kukomoana hazina maana kabisa, kinahitajika hapo ni Diplomasia na si maguvu.

Dogo kapoteza dira na mwelekeo kabisa, upepo unapovumia ndiko anakokwenda.
 
Back
Top Bottom