David Silinde: Ili kuwakomesha Zambia kwa kutufungia mpaka, Serikali yetu iwaongezee Tozo kwenye mizigo yao iliyopo bandarini Dsm

David Silinde: Ili kuwakomesha Zambia kwa kutufungia mpaka, Serikali yetu iwaongezee Tozo kwenye mizigo yao iliyopo bandarini Dsm

umesahau magaidi wa kiislamu factor wanaoua kama kuku msumbiji na wamekalia hizo route wanateka magari na maeneo kama wehu .JWTZ imemeleka jeshi kulinda upande wetu hali ya msumbiji mbaya
Hao Magaidi walikuwepo toka miaka hiyo eeh?? Acha kuleta porojo. Ina maana walikuwa wanapita Beira hao magaidi ndio wakasababisha wahamia Dsm? Hawa magaidi ambao hata miaka 8 hawana. Acha pumba.
 
Ubabe hauleti suluhu, wanaweza kuamua kutumia bandari ya Beira
Tangia hapo wanatumia Bandari nne tokea zamani mizigo yao hupita Bandari ya Namibia, South Africa, msumbiji na Angola hawana shida kubwa na Bandari, Zambia haiwezi kuathirika sana kwa kuikosa Bandari ya Dsm watakaoumia ni wafanyakazi wafanyabiashara binafsi wanaopeleka bidhaa mafuta mabasi ya abria
 
Sasa kwa huo ushauri wake si ndio wa kibwege kabisa. Ukiongeza tozo hao wanahamia Beira jumla hapo unakua umeumia mwenyewe na bado raia wako hawaingii Zambia. Ni upuuzi tu hapo. Angekuja na suluhisho lingine lenye maana.
hilo la kwake silinde la kizalendo katoa wewe la kwako suluhisho ni nini? Kwenye debate hujadili mtu toa suluhisho lako la kuitetea Tanzania ni lipi?: ohh angekuja na suluhisho wewe mbona huna!!! kichwa kitupu
 
Islamist insurgents have seized control of a key town in northern Mozambique, close to where foreign companies are working on a $60bn (£52bn) natural gas project.

The militants staged an overnight attack on Mocimboa de Praia, taking a military base and raising their flag, police said.

The army and police have launched a counter-offensive, police added.

This is the first time Mozambican jihadists have attacked a major town.

They usually attack villages and farms.

Panicked residents said the fighters had blocked all exit routes, and they could not leave the town.

"They are taking residents to the mosque and locking them there," the privately owned Moz24h website quoted a resident as saying.

Hundreds have been killed and thousands displaced during the three-year insurgency in Cabo Delgado.

The government has battled to curb the insurgency, despite support from a Russian military company.

The militants call themselves al-Shabab although it is unclear whether they are linked to the significantly larger Somali movement of the same name.

Cabo Delgado is one of Mozambique's poorest regions, but it is rich in untapped mineral resources.

In 2010, Mozambique discovered huge gas reserves in Rovuma Basin, off the Indian Ocean coast of Cabo Delgado.

Last October, ExxonMobil unveiled plans to invest more than $500m in the initial construction phase of its gas project in the region.

source:Jihadists seize Mozambique town in gas-rich region
Nimekuelewa sana.
 
Msumbiji kulivyo kuwa na waasi nani hajitaki?.
Hii ni bandari SALAMA kama Jina lake lilivyo
Sasa ukiwaongezea tozo za Transit na port charges ni kumpiga teke chura Bandari ya Beira inagharama nafuu kuliko Dar na unaenda kuiua sekta ya usafirishaji nchini na wengi watahamia Mozambique aluta continua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msumbiji kulivyo kuwa na waasi nani hajitaki?.
Hii ni bandari SALAMA kama Jina lake lilivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
Cabo delgado na beira wapi na wapi?
eec165df24779e8fd3ff10872a575c28-1.jpg
 
Serikali ikifanya hivyo ndio imejichimbia kaburi maana wao ndio wanatupa kipato kikubwa sana pale bandarini
Tanzania inanufaika zaidi na Zambia kuliko Zambia inavyonufaika na Tanzania, hata watanzania wengi wana maduka upande wa Zambia mipakani, wafanyabiashara wengi huuza bidhaa mafuta kusafirisha Abiria kwenda South Africa Congo Zimbabwe Botswana kupitia Zambia
 
Tangia hapo wanatumia Bandari nne tokea zamani mizigo yao hupita Bandari ya Namibia, South Africa, msumbiji na Angola hawana shida kubwa na Bandari, Zambia haiwezi kuathirika sana kwa kuikosa Bandari ya Dsm watakaoumia ni wafanyakazi wafanyabiashara binafsi wanaopeleka bidhaa mafuta mabasi ya abria
kaangalie nani anamiliki vituo vyote vikubwa vya mafuta zambia na malawi ni watanzania chezea wewe
serikali ya malawi ya Joyce banda ilipinduliwa kwa watanzania kugoma tu kupeleka mafuta malawi wakawa wanapanga foleni wiki mbili unasubiria foleni ujaze kidumu cha lita tano!!! ili walau kila mtu apate

Silinde alichoongea yuko vizuri watafungua tu mpaka watake wasitake labda raisi wao awe hajipendi after all watanzania wana CCM ndio tulimwingiza madarakani
 
hilo la kwake silinde la kizalendo katoa wewe la kwako suluhisho ni nini? Kwenye debate hujadili mtu toa suluhisho lako la kuitetea Tanzania ni lipi?: ohh angekuja na suluhisho wewe mbona huna!!! kichwa kitupu
Kichwa kitupu ni cha silinde na chako na yule bwana anajaribu kumfurahisha "the mafichoni king of kings". Mwenzako akimwaga ugali , wewe kula mboga . Ukiimwaga unamkomoa nani?
 
Mbunge wa Chadema mh Silinde ameitaka serikali kuiongezea Tozo mizigo ya Zambia iliyoko bandarini kama majibu kwa wao kutufungia mpaka.

Silinde amesema hayo wakati akichangia hotuba ya makadirio ya wizara ya mambo ya nje na kutoa mfano kuwa hata Marekani na China hulipana visasi kwenye vita vya kiuchumi.
Hata hivyo waziri Kabudi alimshushua kwa kumwambia kwamba mpaka haujafungwa.

Chanzo: Star tv

Maendeleo hayana vyama!
Huyu kiazi naona akili yake imeanza taratibu kuwaza kiccm ccm
 
Mbunge wa Chadema mh Silinde ameitaka serikali kuiongezea Tozo mizigo ya Zambia iliyoko bandarini kama majibu kwa wao kutufungia mpaka.

Silinde amesema hayo wakati akichangia hotuba ya makadirio ya wizara ya mambo ya nje na kutoa mfano kuwa hata Marekani na China hulipana visasi kwenye vita vya kiuchumi.
Hata hivyo waziri Kabudi alimshushua kwa kumwambia kwamba mpaka haujafungwa.

Chanzo: Star tv

Maendeleo hayana vyama!
Haya bwana,lakini sio rahisi kihivyo bro
 
kaangalie nani anamiliki vituo vyote vikubwa vya mafuta zambia na malawi ni watanzania chezea wewe
serikali ya malawi ya Joyce banda ilipinduliwa kwa watanzania kugoma tu kupeleka mafuta malawi wakawa wanapanga foleni wiki mbili unasubiria foleni ujaze kidumu cha lita tano!!! ili walau kila mtu apate

Silinde alichoongea yuko vizuri watafungua tu mpaka watake wasitake labda raisi wao awe hajipendi after all watanzania wana CCM ndio tulimwingiza madarakani
Kumiliki ndio nini? Kwani nchi yako ile? Nyerere alitaifisha majumba ya wahindi kwa maslahi ya Taifa hata wao wanaweza kufanya hivyo hivyo. Eti chezea waTanzania? Chezea waTz nchini mwa watu? Upuuzi huo. Wewe hujawahi kumweka mtu madarakani labda huko Zenji .
 
Back
Top Bottom