David Silinde: Ili kuwakomesha Zambia kwa kutufungia mpaka, Serikali yetu iwaongezee Tozo kwenye mizigo yao iliyopo bandarini Dsm

David Silinde: Ili kuwakomesha Zambia kwa kutufungia mpaka, Serikali yetu iwaongezee Tozo kwenye mizigo yao iliyopo bandarini Dsm

Njia ya Bandari toka Beira msumbiji kwenda Zambia ni salama wazambia wengine hupitishia mizigo yao huko, ikumbukwe zamani 90% ya mizigo ya Zambia ilikuwa ikipita Bandari ya Dsm baada ya kuona udokozi usumbufu ucheleweshaji wa kutoa mizigo ndipo wakaanza kutumia Bandari za Angola, Namibia, South Africa hawana shida sana kama tunavyofikiria.
 
Tanzania inanufaika zaidi na Zambia kuliko Zambia inavyonufaika na Tanzania, hata watanzania wengi wana maduka upande wa Zambia mipakani, wafanyabiashara wengi huuza bidhaa mafuta kusafirisha Abiria kwenda South Africa Congo Zimbabwe Botswana kupitia Zambia
Na serikali ya Zambia Wala haina roho mbaya kama serikali ya Tanzania.
 
Pointi ya hovyo sana, yaani anadhani Zambia wanatumia Tanzania pekee8 kupitisha bidhaa zao? Yaani hujui jinsi Tanzania inavyopambana kuhakikisha kuwa mizigo ya Zambia haipitii Beira na Afrika Kusini wala asingetoa hiyo hoja ambayo ni ya kijinga na isiyopaswa kutolewa na mtu mwenye kiwango cha elimu ya Silinde.

Sent using Jamii Forums mobile app
bandari ya Dar es salaam wasafirisha mizigo wakubwa ni wafanyabiashara wakubwa wa Tanzania na Congo ambao wamewekeza sana zambia

biashara nyingi zambia kubwa zimeshikwa na wageni sio wazambia nenda hata soko la SADCC lusaka wamejaa wachaga na wanyakyusa

mtanzania umwambie mzigo wake akachukulie beira? mfano mafuta hapa wana matenki tayari kwa hiyo wakayejenge beira msumbiji nani atakubali?

Silinde anatetea wachaga pia waliojazana Zambia kuanzia miji ya mipakani hadi lusaka ila kwa vikabila uchwa vishinda kwenye keyboard haviwezi mwelewa Silinde sababu wao ni kula kulala chadema!!!!!
 
Njia ya Bandari toka Beira msumbiji kwenda Zambia ni salama wazambia wengine hupitishia mizigo yao huko, ikumbukwe zamani 90% ya mizigo ya Zambia ilikuwa ikipita Bandari ya Dsm baada ya kuona udokozi usumbufu ucheleweshaji wa kutoa mizigo ndipo wakaanza kutumia Bandari za Angola, Namibia, South Africa hawana shida sana kama tunavyofikiria.
unaota ndoto mchana njia ya beira inapitia jimbo la TETE MOZAMBIQUE kuna waasi wa Renamo hadi leo ni kushikilia roho yako tu mkononi kukuta daraja au reli imelipuliwa sio kitu cha ajabu kwenye jimbo la TETE mozambique

1589454310657.png
 
Kama bandari ya msumbiji ni rais mbona hawapitishi mizigo wanakombilia bandari ya Tanzania?.
Au huko gharama kubwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Upande wa msumbiji kupo busy malawi Botswana hata Zimbabwe hutumia Bandari yao na pia kila Nchi wana bidhaa hupitisha zaidi kwa mfano Tanzania hupitisha mafuta zaidi na pia kusafirisha copper yao
 
unaota ndoto mchana njia ya beira inapitia jimbo la TETE MOZAMBIQUE kuna waasi wa Renamo hadi leo ni kushikilia roho yako tu mkononi kukuta daraja au reli imelipuliwa sio kitu cha ajabu kwenye jimbo la TETE mozambique
Renamo wapo upande wa mipaka ya Tanzania na hawana nguvu kama zamani Hiyo njia inalindwa na jeshi la msumbiji saa 24
 
mtanzania umwambie mzigo wake akachukulie beira? mfano mafuta hapa wana matenki tayari kwa hiyo wakayejenge beira msumbiji nani atakubali?
Mimi nakuambia hivi sasa tuongeapo hapa mizigo mingi inapitia Beira
Drc wanaexport shaba yao kupitia Walvis bay Namibia
Malawi mizigo yao imeanza kupitia Beira kwa muda sasa na ni karibu sana na gharama ni nafuu

Tukiacha ushabiki Bandari ya dar inakumbana na ushindani ambao haijawahi kuupitia

Na kipindi hichi cha mdororo wa uchumi kutokana na virusi vya corona huenda bandari ya Dar ikapoteza maalfu ya wateja

Acheni siasa kwenye mambo ya msingi
 
Renamo wapo upande wa mipaka ya Tanzania na hawana nguvu kama zamani Hiyo njia inalindwa na jeshi la msumbiji saa 24
sio kweli eneo hatari mno jimbo la TETE ndio ngome yao

1589454378780.png
 
Basi watulie.
Kumbe bado msumbiji sio suluhisho kwao.
na hata wakisema waanze kutumia bandari ya msumbiji lazma na huko mpakani corona itaongezeka.maana madereva ndo wasambazaji wakuu.
Upande wa msumbiji kupo busy malawi Botswana hata Zimbabwe hutumia Bandari yao na pia kila Nchi wana bidhaa hupitisha zaidi kwa mfano Tanzania hupitisha mafuta zaidi na pia kusafirisha copper yao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ajabu ni pale alipokuwa akiongea hayo wabunge wenzake wa CCM waligonga meza kushangilia.
 
Mimi nakuambia hivi sasa tuongeapo hapa mizigo mingi inapitia Beira
Drc wanaexport shaba yao kupitia Walvis bay Namibia
Malawi mizigo yao imeanza kupitia Beira kwa muda sasa na ni karibu sana na gharama ni nafuu

Tukiacha ushabiki Bandari ya dar inakumbana na ushindani ambao haijawahi kuupitia

Na kipindi hichi cha mdororo wa uchumi kutokana na virusi vya corona huenda bandari ya Dar ikapoteza maalfu ya wateja

Acheni siasa kwenye mambo ya msingi

jisomee mwenyewe kuhusu bandari ya Beira uongo wako ulivyokubuhu
Dredging biggest headache for Mozambique's Beira port

BEIRA, Mozambique, Feb 18 (Reuters) - Constant silting and shifting underwater sandbanks at the Mozambican port of Beira require daily dredging, hampering efforts to build the Indian Ocean port into a major minerals export hub, the port’s managing director said.

Beira has long been used as a transhipment port, processing cargo from landlocked Zimbabwe, Malawi and Zambia, but recently also started moving coal found in Mozambique’s northern Tete province, which links with Beira via an old railway.

Infrastructure bottlenecks are a major headache for miners setting up in the former Portuguese colony, home to vast reserves of coking coal, used in steel making.

Brazil’s Vale was forced to curtail its output and export targets last year and Rio Tinto wrote down $3 billion on its Mozambican assets, partially due to infrastructure constraints.

“This is the most difficult channel in this region that requires dredging nearly every day,” Carlos Mesquita, managing director of Cornelder de Mocambique, which handles the port, told Reuters in an interview.

The Pungwe and Buzi rivers come together at the country’s second biggest city and their currents build heavy siltation and sandbanks around the channel, making it difficult for large vessels to pass.

A capital dredging project - normally used to deepen a port - was completed in 2011, but was not sufficient to allow Panamax vessels through and currently only ships of up to 9.5 meters can dock at Beira. This is expected to change when another such operation is performed next year.

Still, the port will need to be dredged every day after that to keep the sand from piling up, Mesquita said.

The port is also constrained by limited capacity on the railway lines linking with Beira, with huge tonnages of cargo currently arriving by trucks along a heavily potholed highway prone to flooding during the rainy summer season.

SOURCE:Dredging biggest headache for Mozambique's Beira port
 
Renamo wapo upande wa mipaka ya Tanzania na hawana nguvu kama zamani Hiyo njia inalindwa na jeshi la msumbiji saa 24
soma hapa mwenyewe uone uongo wako

Mozambique: Armed groups attack two lorries on main roads
Armed groups on Friday attacked two lorries in central Mozambique following raids since August in the area, but this time without causing deaths or injuries, civilian sources and authorities told Lusa.

A tanker that left the port of Beira for Malawi was shot several times on National Road 6, the country’s main road corridor.

In a video that circulated on social media, the driver of the lorry warned of the danger: “It is ugly here, I have just been attacked as I approach Inchope,” a town where the EN6 and EN1 cross.

In this video, the driver shows the perforated tanker at various points and fuel gushing into the road, and local sources have told Lusa that it has already continued its journey after containing the spill.

On another main road, the EN1, on the Inchope – Muxungue section, a goods lorry was shot at as it was heading from the junction to the hinterland.

Both occurrences occurred within the boundaries of Gondola District, Manica Province.

The attacks in the region have killed ten people since August and intensified after the general and provincial elections on 15 October in which the ruling party, the Liberation Front of Mozambique (Frelimo), recorded overwhelming victories.

The police blame the attacks on guerrillas of the opposition Mozambican National Resistance (Renamo) without making a distinction between the party’s armed wing and a group of dissidents led by Mariano Nhongo, who resigned from Ossufo Momade’s leadership in June and threatened to destabilise the region.

Renamo has responded to the police by denying any relationship between the armed men under its command – because they are complying with the disarmament agreement, he said – and the attacks, calling on the police to arrest those responsible.

“If the Defence and Security Forces are unable to defeat this group (from Mariano Nhongo’s self-proclaimed Renamo Military Junta), then do not blame Renamo for the attacks,” José Manteigas told Lusa, insisting that Renamo is committed to the peace agreement and has acted in good faith to preserve it.

The same kind of violence in that region happened in 2015, in the post-election period, when Afonso Dhlakama (former leader of Renamo) rejected Frelimo’s victory but denied involvement in the clashes.
Mozambique: Armed groups attack two lorries on main roads
source:
 
Kwa hiyo hoja Silinde hakuna alipowatetea Watanzania, zaidi amewakandamiza na kuwaumiza zaidi.

Halafu Wazambia hawajafunga mpaka kuwakomoa Watanzania, Bali kufanya tathimini kwa eneo dogo tu la Nakonde kwa wananchi wake.

Tatizo hata wakifanya tathimini haiwezi saidia sana bila kushirikiana na serikali ya Tanzania maana muingiliano wa Nakonde na Tunduma ni mkubwa sana.

Asilimia 90 ya bidhaa za Tunduma tunategema soko toka Zambia,Congo,Malawi na Zimbambwe kidogo.ila mteja mkubwa na kuaminika ni Zambia.

Nenda leo hata kariakoo kumepoa balaa, maana Tunduma ndio hua inachangamsha soko la Kariakoo kwa bidhaa zoote.

Kama umezaliwa Tandale na kukulia Tandale huwezi kuelewa hiki ninachokielezea.

Na huwezi kujua umhumu wa mahusiano na nchi jirani
Huyo mama unayebishana nae anakupotezea muda tu,hamna kitu anachojua.
 
Back
Top Bottom