MoroGent
Senior Member
- Jan 10, 2018
- 149
- 473
Salamu waajukwaa,
Utangulizi
Niliwahi kutamka hapa kuwa Mheshimiwa David Ernest Silinde ni mfano wa kiongozi mwenye ushawishi mkubwa, anayekubalika na kuungwa mkono na jamii yake.
Kukubalika kama Kiongozi
Kitendo cha madereva bodaboda na bajaji kumchangia na kumlipia fomu ya kugombea ubunge Jimbo Tukutu la Tunduma kinaonesha kiwango kikubwa cha upendo, imani, na heshima wanayompa.
Hii ni ishara kuwa Silinde amekuwa karibu na wananchi wa kawaida, amesikiliza matatizo yao, na pengine kuchukua hatua zinazogusa maisha yao ya kila siku.
Uongozi sio Siasa Tu
Katika jamii nyingi, viongozi wanaopendwa huwa ni wale wanaojishusha, wanaofanya kazi kwa ajili ya watu na si maslahi yao binafsi. Kitendo hiki cha kumuunga mkono kwa vitendo kinaonyesha kuwa Silinde si tu kiongozi wa kisiasa, bali ni rafiki na mtetezi wa wananchi. Ni aina ya kiongozi anayewakilisha dhana ya uongozi wa watu, unaotokana na matendo halisi, si ahadi tu. Tunduma inaonekana kujivunia kuwa na kiongozi wa aina hii.
Namtabiria Makubwa zaidi, Mungu Amuongoze, na Ampe Maanikio Makubwa Zaidi.
Hana Mpinzani Tunduma, Kazi yake INAONGEA