David Silinde ulivunja Sheria 2020 ukiwa Bungeni, usiwanyanyase Walimu

David Silinde ulivunja Sheria 2020 ukiwa Bungeni, usiwanyanyase Walimu

Paf

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2021
Posts
1,703
Reaction score
3,307
Mhe. David Silinde,

Mwaka 2020 ulijivua Uanachama ukiwa bungeni nakisha kuhamia chama kingine nakuendelea na ubunge kinyume na Sheria huku ukijuwa kabisa ni kosa kisheria.

Nguvu ya dola ikatumika kukuweka jimbo ambalo si lako,huku ukiwasaliti wanachama wako waliokupokea ukitokea chuoni.

Ninasikitika kusikia umemsimamisha mwl bila kufuata taratibu za utumishi wa Umma.Nakuona kama mtu wakujipendekeza nakujiona wewe ni bora kuliko jamii, hutendi haki.
 
Anatengeneza kiki ili kulinda nafasi yake ya unaibu waziri.
 
Kesi nyingi za walimu zinazalishwa Na hofu ya kufukuzwa kazi au kusimamishwa.

Mwl anashindwa kuongea ukweli kwa matumaini kuwa akikaa kimya ataonewa huruma. Nafasi za kupewa pewa tu bila CV nazo zinawanyanyasa sana.
 
Huyo mwalimu kafanya kosa gani?
Screenshot_20210711-093213_Telegram.jpg
 
Back
Top Bottom