Jannatul Firdaus
JF-Expert Member
- Aug 4, 2026
- 446
- 1,113
Miaka 41 Una pesa bado unahangaika na MachineMsanii wa Nigeria Davido amehudhuria mazishi ya rafiki yake wa karibu, Igho “Tiny” Ubiribo, yaliyofanyika jijini London, Uingereza.
Ubiribo, mwenye umri wa miaka 43, alifariki Machi 6 baada ya kupata emboli ya mapafu (pulmonary embolism) kufuatia utaratibu wa kuongeza ukubwa wa uume kwa kutumia sindano za hyaluronic acid na lidocaine nchini Thailand.
Kwa mujibu wa uchunguzi wa Coroner wa London, Ubiribo alianza kupata maumivu ya kifua na kupoteza fahamu mara mbili baada ya kufanyiwa utaratibu huo. Alipelekwa hospitalini, ambako madaktari walijaribu kumuokoa kwa zaidi ya dakika 100, lakini hakunusurika.
View attachment 3664952
View attachment 3664948
Sisi wachuja nafaka tukikohoa Tu utasikia maneno ya Kashfa" Tafuta Hela" sasa wenye nazo nao bado wanateseka hadi wanakufaWASHELI INASUMBUA MASELA WENGI PAKA WENYE MAWE. RIP TO THE EXTENSION
Bangkok ni wataalam Sana wa Plastic surgery, hii ilikuwa bahati mbaya tuMsanii wa Nigeria Davido amehudhuria mazishi ya rafiki yake wa karibu, Igho “Tiny” Ubiribo, yaliyofanyika jijini London, Uingereza.
Ubiribo, mwenye umri wa miaka 43, alifariki Machi 6 baada ya kupata emboli ya mapafu (pulmonary embolism) kufuatia utaratibu wa kuongeza ukubwa wa uume kwa kutumia sindano za hyaluronic acid na lidocaine nchini Thailand.
Kwa mujibu wa uchunguzi wa Coroner wa London, Ubiribo alianza kupata maumivu ya kifua na kupoteza fahamu mara mbili baada ya kufanyiwa utaratibu huo. Alipelekwa hospitalini, ambako madaktari walijaribu kumuokoa kwa zaidi ya dakika 100, lakini hakunusurika.
View attachment 3664952
View attachment 3664948
Ni tajiri huyo pesa anayo ya kutosha mkuu unajua saa zingine pesa ikija nyingi ni mtihaniUkiona mwiko wako ni mdogo tafuta sufuria size yako, Easy.
Hizo hela za kufanya surgery huenda angezitumia kutafuta size yake.
Unaambiwa wana hospitali za vichochoroni hutumiwa na macartel kubadili sura ukiingia mle na ukatoka ni tofauti unaeza muomba hata polisi akusindikize kwako na asikujueBangkok ni wataalam Sana wa Plastic surgery, hii ilikuwa bahati mbaya tu
Wako very advanced kwenye medical practicesUnaambiwa wana hospitali za vichochoroni hutumiwa na macartel kubadili sura ukiingia mle na ukatoka ni tofauti unaeza muomba hata polisi akusindikize kwako na asikujue
Wewe unakuwa unapania 😅 paka moshi kama unataka kugundua moto . Mixer mate mixer oil chafuSisi wachuja nafaka tukikohoa Tu utasikia maneno ya Kashfa" Tafuta Hela" sasa wenye nazo nao bado wanateseka hadi wanakufa
Sana hizi ni Ajali tu japo najua huyo doctor lazima ajibu shitaka wapo serious na brand za nchi zaoWako very advanced kwenye medical practices
Yes hii haitaisha kirahisiSana hizi ni Ajali tu japo najua huyo doctor lazima ajibu shitaka wapo serious na brand za nchi zao