AaahaaaaInasikitisha
Angetafuta kei size yake tu 😢
Sahv wapiga deal haram wengi utasikia mimi ni influencer 😄Si wanadai kafake kifo kukwepa kesi ya madawa
C n nyie nyie wanawakeAliewaletea wanaume uoga wa maumbile yao kawaweza sanaaaa...
Mara nguvu huna mara kibamia..
Ni kweli kabisa hao ni mabingwa haswaBangkok ni wataalam Sana wa Plastic surgery, hii ilikuwa bahati mbaya tu
That was 80s imagineNi kweli kabisa hao ni mabingwa haswa
Miaka ya 80 nilikuwa huko nikawaona baadhi wamefanyiwa surgery za parts za miili
Mmoja alikuwa mdada alifanyiwa upasuaji wa kukuza pua yake
Na alikuwa tofauti kabisa na wenzake
Msanii wa Nigeria Davido amehudhuria mazishi ya rafiki yake wa karibu, Igho “Tiny” Ubiribo, yaliyofanyika jijini London, Uingereza.
Ubiribo, mwenye umri wa miaka 43, alifariki Machi 6 baada ya kupata emboli ya mapafu (pulmonary embolism) kufuatia utaratibu wa kuongeza ukubwa wa uume kwa kutumia sindano za hyaluronic acid na lidocaine nchini Thailand.
Kwa mujibu wa uchunguzi wa Coroner wa London, Ubiribo alianza kupata maumivu ya kifua na kupoteza fahamu mara mbili baada ya kufanyiwa utaratibu huo. Alipelekwa hospitalini, ambako madaktari walijaribu kumuokoa kwa zaidi ya dakika 100, lakini hakunusurika.
View attachment 3664952
View attachment 3664948
Leo wako mbali sanaThat was 80s imagine
Mbali sana, they can do anything, kwenye technolojia ya Medicine binadamu alichobakiza ni kupulizia Pumzi ya Uhai tuLeo wako mbali sana
Halafu simple tu sijawahi kuwaza huo ujinga wa kumridhisha mtu.Ukiona mwiko wako ni mdogo tafuta sufuria size yako, Easy.
Hizo hela za kufanya surgery huenda angezitumia kutafuta size yake.
Mnayakuza sanaaaaa....C n nyie nyie wanawake