Davido aangua kilio wakati wa kumzika rafiki yake aliefariki kwa kuongeza uume

Hivi msibani wanaambiana marehemu amefariki kwa sababu gani?
Au wanamsingizia hiyo sababu inayotolewa ni ya uongo?
 
Aliewaletea wanaume uoga wa maumbile yao kawaweza sanaaaa...
Mara nguvu huna mara kibamia..
 
Reactions: ---
Mm ndugu yangu akifa kwa kifo cha kipumbavu kama hicho siwezi Ht kuhudhuria mazishi yake
 
Reactions: ---
Uzuri wa K inapokea uume kama ulivyokuja, mwanaume utaenda kuongeza size ya uume baada ya wiki K inauwezo wa kubeba uume na kuacha upenyo, hapo utaona tena una kibamia utaenda tena kuongeza size na sycle itaendelea hvy hvy πŸ˜‚
 
Reactions: ---
Bangkok ni wataalam Sana wa Plastic surgery, hii ilikuwa bahati mbaya tu
Ni kweli kabisa hao ni mabingwa haswa
Miaka ya 80 nilikuwa huko nikawaona baadhi wamefanyiwa surgery za parts za miili
Mmoja alikuwa mdada alifanyiwa upasuaji wa kukuza pua yake
Na alikuwa tofauti kabisa na wenzake
 

Dhahabu anawapelekea kina nani?πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Kwenye kifo, Mwenyezi Mungu ametuweka wote sawa.

Tunakwenda kama tulivyokuja. Hata kama tuna mali kiasi gani. Hazina maana wala msaada wowote
 
Ukiona mwiko wako ni mdogo tafuta sufuria size yako, Easy.

Hizo hela za kufanya surgery huenda angezitumia kutafuta size yake.
Halafu simple tu sijawahi kuwaza huo ujinga wa kumridhisha mtu.
Hakuna tofauti na hawa vijana wa bodaboda hapa Tz. Wengi ikifika jioni wanajazana kwenye maduka ya madawa kununua viagra. Hawajui kabisa madhara gani yanawajia hapo mbele. Wanaangalia Leo tu
 
Reactions: ---
Jitihada zingefanywa na Mkewe kupunguza K kwa kuweka ndimu ,jabu nk Kuongeze mashine inaathiri performance kwasababu unaongeza minyama huku blood flow ikiwa ile ile lazima liwe legelege.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…