JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 2,118
- 4,863
Katika kusherehekea birthday yake msanii davido katoa challenge kwa wasanii na makampuni mbalimbali aliowasaidia ku push nyimbo na brand zao kuwa maarufu Nigeria na Africa, akiwataja kwa majina kupitia Instagram story yake akiwemo msanii Diamond Platnumz na msanii Focalist.
Wasanii mbalimbali wamejitokeza kwa wingi na kumchangia kwa wingi hadi kufikia kiasi cha $500,000 ndani ya masaa 24 wengi wakitoa kati ya Naira million 1 hadi naira million 5.
Msanii Focalist wa South Africa baada ya kutajwa pamoja na DIAMONDPLATNUMZ alituma chap chap naira million 1 kwa davido, ila msanii diamondplatnumz hadi tunaenda mitamboni alikuwa bado hajatuma, au labda alituma hela ndogo maana davido haposti wanaotuma kiasi chini ya Naira million 1.
View attachment 2015806View attachment 2015807View attachment 2015808View attachment 2015809