Davido achangisha hela kwa wasanii aliowasaidia kutoka, Focalist katoa, Diamond bado hajatoa hela

Mashabiki wa domokaya wataanza kumnanga Davido soon, huwa hawachelewi. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Katoe wew
 
Uzi uchwara wee toa mpk muwakilishe Mond
 
Domo aliinuliwa na bob junio. Davido alimsaidia tu kumpaisha kimataifa ila bongo tayari alishakua maarufu
Kuna watu hawaelewi kitu, kazi yao ni kuropoka tu.Yani mtu yupo serious anasema Mond hakuwa na umaarufu wowote kabla ya kufanya collabo ma Davido๐Ÿ˜….

Mleta mada ni Robidinyo katoka I'd nyingine maana huu ujinga unaenda nae.
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Kuna watu hawaelewi kitu, kazi yao ni kuropoka tu.Yani mtu yupo serious anasema Mond hakuwa na umaarufu wowote kabla ya kufanya collabo ma Davido๐Ÿ˜….

Mleta mada ni Robidinyo katoka I'd nyingine maana huu ujinga unaenda nae.
 
Diamond atachangia mwishoni kabisa..msiwe na haraka
Mbona Focalist katajwa pamoja nae katuma naira million moja, alafu davido kamuita Focalist Dubai anakula nae bata. Yani mondi anaonekan lofa kweli sasahv. Wasanii wa naijeria wanamchukia tangu alipojirekodi video na kudai yeye ana pesa kuliko wanamziki wa naijeria. Hadi Burnaboy kaungana na harmonize kumtukana.
 
Huyo bob junior yeye mwenyewe kashindwa kujiinua. Basi kama ni kweli basi awainue kina Diamond wengine. Diamond kainuliwa na davido na huo ndiyo ukweli.

una akili kisoda sana mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ