Agama_Agama
Senior Member
- Sep 13, 2016
- 141
- 135
Sony ndo wanammanage na wao ndo wanasema lini wimbo mpya utoke sio kama kibongo bongo. Maana anapangiwa mpk collaboHuyu muziki anafanyia starehe na sio kusaka pesa nasikia kwao mambo super kabisa
Kwa nn??Hii habali si njema kwa wcb
Kuna wakati nlimsikia soggy doggy yule jamaa wa kibanda cha simu kwamba nyimbo yake imetumika katika moja ya movies zinazoigizwa huko hollywood sijui ile tetesi iliishiaga wapi maana jamaa alusema ataifuatilia ili wamlipe.
Hamna bhana... ni kweli kwao zipo lakini ukimya wake hauna uhusiano wowote wa ikiwa muzuki anafanyia njaa au hobby!Huyu muziki anafanyia starehe na sio kusaka pesa nasikia kwao mambo super kabisa
WCB baby!USA baby [emoji631] [emoji631] [emoji631]